Tuo Tuo
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 678
- 1,202
Ni vitu gani nifanye samaki wasife? nakumbuka wakati wa udogo kila nikifuga samaki wanakufa sikua najua sababu ni nini? Wengine walisema ni maji ya bomba sababu yana chlorine basi tukawa tunabeba maji ya ziwa lakini wapi?
Lakini nikiingia YouTube naona kuna watu wanafuga samaki kwenye tanki na wanaishi!
Ushauri tafadhari.
Lakini nikiingia YouTube naona kuna watu wanafuga samaki kwenye tanki na wanaishi!
Ushauri tafadhari.