Nataka nifuge samaki kwene tank, inawezekana?

oxygen si automatic iko kwen maji
Maji ya kwenye Bwawa yanakuwa hayana Oxygen ya kutosha.Ndo maana Kuna idadi maalum ya Samaki per SQ Meters.vinginevyo watakufa. Kwa Ziwani sawa Oxygen IPO yakutosha
 
Nina kitabu cha ufugaji wa samaki cha soft copy ila siwezi kupa bure
Kama naweza ku download you tube lecture za vyuo vikubwa kana MIT sembuse ki soft copy cha kufuga samaki! Hawezi kukikosa hicho kitabu google search.
Atapata hata vitabu elfu moja.
Kama umetafiti mwenyewe na kuandika ulichogundua basi ilo andiko hawezi lipata na itabidi akulipe.
Mind you! Mtandaoni hata ukitaka elimu ya kuunda nuclear bom unaipata.
Usisahau sasa hivi kuna AI bot ambayo hakuna isichojua.
 
khaaah
 
Back
Top Bottom