Inawezekana vizuri tu, nenda Ruvu JKT au SUA watakuelekeza cha kufanyaNi vitu gani nifanye samaki wasife,,, nakumbuka wakat wa udogo kila nikifuga samaki wanakufa sikua najua sababu ni nn? Wengine walisema n maji ya bomba sababu yana chlorine bas tukawa tunabeba maji ya ziwa lakini wapi??
Lakin nikiingia youtube naona kuna watu wanafuga samaki kwene tank na wanaishi!
Ushauri tafadhar
Wewe uko mkoa ganiWako kila mkoa
Nenda Bukiligurumwanza mkuu
Ndio inawezekana! Samaki anataka MAJI na Oxygen - So ukimpa hivyo ana tatizoNi vitu gani nifanye samaki wasife? nakumbuka wakati wa udogo kila nikifuga samaki wanakufa sikua najua sababu ni nini? Wengine walisema ni maji ya bomba sababu yana chlorine basi tukawa tunabeba maji ya ziwa lakini wapi?
Lakini nikiingia YouTube naona kuna watu wanafuga samaki kwenye tanki na wanaishi!
Ushauri tafadhari.
InawezekanaNi vitu gani nifanye samaki wasife? nakumbuka wakati wa udogo kila nikifuga samaki wanakufa sikua najua sababu ni nini? Wengine walisema ni maji ya bomba sababu yana chlorine basi tukawa tunabeba maji ya ziwa lakini wapi?
Lakini nikiingia YouTube naona kuna watu wanafuga samaki kwenye tanki na wanaishi!
Ushauri tafadhari.
Mwanza niliona kuna watu wanafugia ziwani kabisa.mwanza mkuu
Samaki kama viumbe wote wa Mungu! Hupata Stress! Ndo maana ufa!Ni vitu gani nifanye samaki wasife? nakumbuka wakati wa udogo kila nikifuga samaki wanakufa sikua najua sababu ni nini? Wengine walisema ni maji ya bomba sababu yana chlorine basi tukawa tunabeba maji ya ziwa lakini wapi?
Lakini nikiingia YouTube naona kuna watu wanafuga samaki kwenye tanki na wanaishi!
Ushauri tafadhari.
Samaki kama viumbe wote wa Mungu! Hupata Stress! Ndo maana ufa!Ni vitu gani nifanye samaki wasife? nakumbuka wakati wa udogo kila nikifuga samaki wanakufa sikua najua sababu ni nini? Wengine walisema ni maji ya bomba sababu yana chlorine basi tukawa tunabeba maji ya ziwa lakini wapi?
Lakini nikiingia YouTube naona kuna watu wanafuga samaki kwenye tanki na wanaishi!
Ushauri tafadhari.
IPO hivi! Tanzania now Serikali imeruhusu ufagaji lake Victoria. Kama una mtaji walau 20M tuchekieane. Nna formula ya Kutuma magugu MAJI kama Protein ya Chakula- Cha samaki!- nna mpaka proposal so njoo Pm tuyajenge tupige kazi.Kwenye kufunga Samaki wa kuuza! IPO formula ya kuwafanya wote wawe Madume; kwa miezi 3 wanakuwa 500-600+Grams! So unawauza kwa Bei nzuri tuNi vitu gani nifanye samaki wasife? nakumbuka wakati wa udogo kila nikifuga samaki wanakufa sikua najua sababu ni nini? Wengine walisema ni maji ya bomba sababu yana chlorine basi tukawa tunabeba maji ya ziwa lakini wapi?
Lakini nikiingia YouTube naona kuna watu wanafuga samaki kwenye tanki na wanaishi!
Ushauri tafadhari.
IPO hivi! Tanzania now Serikali imeruhusu ufagaji lake Victoria. Kama una mtaji walau 20M tuchekieane. Nna formula ya Kutuma magugu MAJI kama Protein ya Chakula- Cha samaki!- nna mpaka proposal so njoo Pm tuyajenge tupige kazi.Kwenye kufunga Samaki wa kuuza! IPO formula ya kuwafanya wote wawe Madume; kwa miezi 3 wanakuwa 500-600+Grams! So unawauza kwa Bei nzuri tu
Hizo cage za duara nazipataje ndugu? Bei yake ikoje? Zinahifadhi idadi gani ya samaki?IPO hivi! Tanzania now Serikali imeruhusu ufagaji lake Victoria. Kama una mtaji walau 20M tuchekieane. Nna formula ya Kutuma magugu MAJI kama Protein ya Chakula- Cha samaki!- nna mpaka proposal so njoo Pm tuyajenge tupige kazi.Kwenye kufunga Samaki wa kuuza! IPO formula ya kuwafanya wote wawe Madume; kwa miezi 3 wanakuwa 500-600+Grams! So unawauza kwa Bei nzuri tu
Moja linakaa Samaki 10.000.Bei zake ni 2-4.5 Millions za KitanzaniaHizo cage za duara nazipataje ndugu? Bei yake ikoje? Zinahifadhi idadi gani ya samaki?
Unaweza Jenga la cement ila itabidi Uwe na pump ilayoingiza MAJI muda wote(kuwezesha uwepo wa Oxygen) .mkuu mi nashukuru ila sina hela hyo mi nilikua nataka kufuga wakula tu nyumbani