Sauda
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 860
- 1,106
Jamani mimi nataka nifanye hii kazi, nina vijana watatu, hivyo nataka nifungue vibanda vitatu sehemu tofauti kwa hapa Dar, kuna yeyote anafanya au alishafanya hii kazi?
Nipeni uzoefu wenu jamani, ikiwezekana mniambie ni wapi patafaa sana kuweka vibanda hivyo kwa hapa Dar.
Nipeni uzoefu wenu jamani, ikiwezekana mniambie ni wapi patafaa sana kuweka vibanda hivyo kwa hapa Dar.