Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Dakika moja shilingi ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpe mawazo ya fursa nyingine mbadala Dada Rebecca sasa usimuache hewaniSijui ufanye biashara gani ila hio ya kibanda cha simu usifanye
Mimi kuna kitu nataka nikuuliuze pale 'pm'Siafiki mwanangu
Ukiwa stendi, hospital na sehemu nyingine kama hizo, bila shaka utaona watu wakihaha kutafuta mawasiliano, au kwa kukosa chaji, au sababu nyingine! Hakuna Fursa hapo?
Muone SOGGY DOOGY atakuelewesha jinsi ya kuanza hiyo biashara.Jamani mimi nataka nifanye hii kazi, nina vijana watatu, hivyo nataka nifungue vibanda vitatu sehemu tofauti kwa hapa Dar, kuna yeyote anafanya au alishafanya hii kazi?
Nipeni uzoefu wenu jamani, ikiwezekana mniambie ni wapi patafaa sana kuweka vibanda hivyo kwa hapa Dar.
Baada ya kusoma content nikarudi juu kuangalia huu uzi ni wa mwaka gani, kumbe umepostiwa mda si mrefu. Bas sawa.utaishia kukamatwa na tcra ,hizo kazi ilikuwa enzi za akina soggy dogg
Kweli hii kama fursa vile.Ukiwa stendi, hospital na sehemu nyingine kama hizo, bila shaka utaona watu wakihaha kutafuta mawasiliano, au kwa kukosa chaji, au sababu nyingine!
Hakuna Fursa hapo?
Nakumbuka miaka ya 2000 mpaka 2006 hivi ndiyo biashara ambayo ilikuwa iko moto hasa kwa wanawake. Wengi walikuwa wanaendesha maisha yao kwa hii kazi. Ilikuwa ni kama ilivyo Tigo pesa nk. Sasa hivi hata ukiamua kuifanya inatakiwa iwe kama huduma ndogo ndani ya huduma kubwa... i.e. unakuwa na kibanda cha kuuza vinywaji nk na hapo hapo unaweka hii huduma.Jamani mimi nataka nifanye hii kazi, nina vijana watatu, hivyo nataka nifungue vibanda vitatu sehemu tofauti kwa hapa Dar, kuna yeyote anafanya au alishafanya hii kazi?
Nipeni uzoefu wenu jamani, ikiwezekana mniambie ni wapi patafaa sana kuweka vibanda hivyo kwa hapa Dar.
Laini imesajiliwa kwa jina lako, tena kwa alama ya kidole, halafu mtu anapiga anafanya uhalifu kwa simu yako, inakuwaje?Jamani mimi nataka nifanye hii kazi, nina vijana watatu, hivyo nataka nifungue vibanda vitatu sehemu tofauti kwa hapa Dar, kuna yeyote anafanya au alishafanya hii kazi?
Nipeni uzoefu wenu jamani, ikiwezekana mniambie ni wapi patafaa sana kuweka vibanda hivyo kwa hapa Dar.
Kwa hiyo baada ya kuumiza kichwa umeona hili ndio wazo la biarasha ya kuanzisha mwaka 2019?Jamani mimi nataka nifanye hii kazi, nina vijana watatu, hivyo nataka nifungue vibanda vitatu sehemu tofauti kwa hapa Dar, kuna yeyote anafanya au alishafanya hii kazi?
Nipeni uzoefu wenu jamani, ikiwezekana mniambie ni wapi patafaa sana kuweka vibanda hivyo kwa hapa Dar.
Pengine kausikiliza huo wimbo hivi karibuni akaona kuna fursa, ilhali kila mtu siku hizi anatembea na simu yake.utaishia kukamatwa na tcra ,hizo kazi ilikuwa enzi za akina soggy dogg
Mwenye simu ndio anaswekwa ndani!!Laini imesajiliwa kwa jina lako, tena kwa alama ya kidole, halafu mtu anapiga anafanya uhalifu kwa simu yako, inakuwaje?
NI AINA GANI ?Sawa sawa mimi
NAUZA COPY MACHINE KWA LAKI SITA NIMETUMIA MIEZI MITATU TU inbox me
Kilichofanya vibanda vya simu vistawi wakati ule ni UKUBWA WA GHARAMA ZA KUPIGA SIMU NA SIO UKOSEFU WA SIMU/LINE. Sasa hivi hio sio biashara gharama za simu zimepungua sana kiasi kwamba mtu anaweza kuomba mtubaki apige simu ya dharula. Mimi ukiniomba simu hata dakika 20 nakuachia upige hainiathiri chochote midakika kibao inabaki kwa mwezi.Jamani mimi nataka nifanye hii kazi, nina vijana watatu, hivyo nataka nifungue vibanda vitatu sehemu tofauti kwa hapa Dar, kuna yeyote anafanya au alishafanya hii kazi?
Nipeni uzoefu wenu jamani, ikiwezekana mniambie ni wapi patafaa sana kuweka vibanda hivyo kwa hapa Dar.