Nataka nifungue biashara ya kibanda cha kupigisha Simu

Fungua mkuu, utapata sana wateja. Hili wazo ni zuri san, usisikilize ya humu.
Ukiwa stendi, hospital na sehemu nyingine kama hizo, bila shaka utaona watu wakihaha kutafuta mawasiliano, au kwa kukosa chaji, au sababu nyingine! Hakuna Fursa hapo?
 
Jamani mimi nataka nifanye hii kazi, nina vijana watatu, hivyo nataka nifungue vibanda vitatu sehemu tofauti kwa hapa Dar, kuna yeyote anafanya au alishafanya hii kazi?
Nipeni uzoefu wenu jamani, ikiwezekana mniambie ni wapi patafaa sana kuweka vibanda hivyo kwa hapa Dar.
Muone SOGGY DOOGY atakuelewesha jinsi ya kuanza hiyo biashara.
 
Anyway mkuu tusikukatishe ,fungua,kuna business chache ndio mpya, nyingi ni mawazo ya zamani yaliyoboreshwa,idea ya kuchaji simu ni nzuri mkuu,
 
Nje ya kibanda cha simu tangazo la uzushi, mkopo umesafiri kinachotakiwa keshi, ni 500 kila dakika utaji waenda hewani, kubeep sh. 50 zipigishi za mezani ! haya sasa Sauda twende ndani ya kibanda....
 
Ukiwa stendi, hospital na sehemu nyingine kama hizo, bila shaka utaona watu wakihaha kutafuta mawasiliano, au kwa kukosa chaji, au sababu nyingine!
Hakuna Fursa hapo?
Kweli hii kama fursa vile.
 
Jamani mimi nataka nifanye hii kazi, nina vijana watatu, hivyo nataka nifungue vibanda vitatu sehemu tofauti kwa hapa Dar, kuna yeyote anafanya au alishafanya hii kazi?
Nipeni uzoefu wenu jamani, ikiwezekana mniambie ni wapi patafaa sana kuweka vibanda hivyo kwa hapa Dar.
Nakumbuka miaka ya 2000 mpaka 2006 hivi ndiyo biashara ambayo ilikuwa iko moto hasa kwa wanawake. Wengi walikuwa wanaendesha maisha yao kwa hii kazi. Ilikuwa ni kama ilivyo Tigo pesa nk. Sasa hivi hata ukiamua kuifanya inatakiwa iwe kama huduma ndogo ndani ya huduma kubwa... i.e. unakuwa na kibanda cha kuuza vinywaji nk na hapo hapo unaweka hii huduma.
 
Jamani mimi nataka nifanye hii kazi, nina vijana watatu, hivyo nataka nifungue vibanda vitatu sehemu tofauti kwa hapa Dar, kuna yeyote anafanya au alishafanya hii kazi?
Nipeni uzoefu wenu jamani, ikiwezekana mniambie ni wapi patafaa sana kuweka vibanda hivyo kwa hapa Dar.
Laini imesajiliwa kwa jina lako, tena kwa alama ya kidole, halafu mtu anapiga anafanya uhalifu kwa simu yako, inakuwaje?
 
Jamani mimi nataka nifanye hii kazi, nina vijana watatu, hivyo nataka nifungue vibanda vitatu sehemu tofauti kwa hapa Dar, kuna yeyote anafanya au alishafanya hii kazi?
Nipeni uzoefu wenu jamani, ikiwezekana mniambie ni wapi patafaa sana kuweka vibanda hivyo kwa hapa Dar.
Kwa hiyo baada ya kuumiza kichwa umeona hili ndio wazo la biarasha ya kuanzisha mwaka 2019?
 
Uza vitafunwa kisasa badala ya hiyo
Zipo hoteli,cafe na maofisi nyingi zinahitaji vitafunwa ambapo wananunua kutoka viwandani ila wanahitaji vitu vya kupikwa siku hiyo hiyo
Ukihitaji njoo nikupe ramani kamili ni aina gani ya vitafunwa vinatoka zaidi na vinakubarika
 
Jamani mimi nataka nifanye hii kazi, nina vijana watatu, hivyo nataka nifungue vibanda vitatu sehemu tofauti kwa hapa Dar, kuna yeyote anafanya au alishafanya hii kazi?
Nipeni uzoefu wenu jamani, ikiwezekana mniambie ni wapi patafaa sana kuweka vibanda hivyo kwa hapa Dar.
Kilichofanya vibanda vya simu vistawi wakati ule ni UKUBWA WA GHARAMA ZA KUPIGA SIMU NA SIO UKOSEFU WA SIMU/LINE. Sasa hivi hio sio biashara gharama za simu zimepungua sana kiasi kwamba mtu anaweza kuomba mtubaki apige simu ya dharula. Mimi ukiniomba simu hata dakika 20 nakuachia upige hainiathiri chochote midakika kibao inabaki kwa mwezi.
 
Hiyo biashara hata kuiwaza acha kabisa.

Siku inaweza kuisha hujapata hata mteja mmoja.

Hata Internet Cafe sasa hivi zinachechemea kwa sababu ya internet za simu.
 
Back
Top Bottom