Nataka nifungue biashara ya kibanda cha kupigisha Simu

Sauda

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2018
Posts
860
Reaction score
1,106
Jamani mimi nataka nifanye hii kazi, nina vijana watatu, hivyo nataka nifungue vibanda vitatu sehemu tofauti kwa hapa Dar, kuna yeyote anafanya au alishafanya hii kazi?
Nipeni uzoefu wenu jamani, ikiwezekana mniambie ni wapi patafaa sana kuweka vibanda hivyo kwa hapa Dar.
 
Duuh..kwan Daslam mbona kama utata..kila mtu au karibia asilimia kubwa ya watu wanasimu..na wale ambao hawana ni rahisi kutumia kutoka kwa watu wanawazunguka...
Ukiwa stendi, hospital na sehemu nyingine kama hizo, bila shaka utaona watu wakihaha kutafuta mawasiliano, au kwa kukosa chaji, au sababu nyingine!
Hakuna Fursa hapo?
 
Kwa hiyo wewe unataka kuweka sehemu ya kuchargia cm au??Tafuta wazo jingine la biashara
Ukiwa stendi, hospital na sehemu nyingine kama hizo, bila shaka utaona watu wakihaha kutafuta mawasiliano, au kwa kukosa chaji, au sababu nyingine!
Hakuna Fursa hapo?
 
Labda ufungue stand ya ubungo ili wale wanaotoka mikoani wasio na simu wakishuka wanakuja kujipatia huduma
 
Sawa sawa mimi

NAUZA COPY MACHINE KWA LAKI SITA NIMETUMIA MIEZI MITATU TU inbox me
 
Watu wanakucheka ila hicho kibanda ukiweka pale ubungo stendi utapata wateja sana
Niliwaza hivyo pia, kuweka Stendi, au sehemu yeyote watu wanapo ingia na kukaa kidogo, then wanatoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…