Nataka nifungue biashara ya kupika keki, kuna shida yoyote kwa Mtoto wa kiume? Nishaurini

Nataka nifungue biashara ya kupika keki, kuna shida yoyote kwa Mtoto wa kiume? Nishaurini

Hela wakuu ngumu sana!!
Nimefikiria hii habar ya kusemaga hizi kazi za kike itanicost sana.

Nimeona nianze na hii biashara ya keki hapa kwetu naona haina ushindan. Yupo tu mtu mmoja tu ndo anapika.
Nipeni ushauri
Watu mbona wana hadi ofisi za kukuna nazi siku hizi. Kwani kutengeneza keki kuna shida gani?
 
Hela wakuu ngumu sana!!
Nimefikiria hii habar ya kusemaga hizi kazi za kike itanicost sana.

Nimeona nianze na hii biashara ya keki hapa kwetu naona haina ushindan. Yupo tu mtu mmoja tu ndo anapika.
Nipeni ushauri
Biashara ya kupika sio ya kike,in short hamna biashara ya kike au ya kiume.watu kama akina harland wangeogopa kupika tusingekuwa na KFC
 
Hela wakuu ngumu sana!!
Nimefikiria hii habar ya kusemaga hizi kazi za kike itanicost sana.

Nimeona nianze na hii biashara ya keki hapa kwetu naona haina ushindan. Yupo tu mtu mmoja tu ndo anapika.
Nipeni ushauri
Kama kuna nyakati unapaswa kufata hisia zako ,basi ni nyakati za kufanya maamuzi.

Kamwe usihtani approval ya mtu ili kujua nini ufanye nini usifanye.
Cha muhimu ielewe WHY yako itakusaidia kufika utakapo.

Kikawaida sie binadam kuponda uwa ni vyepesi mnoo kuliko kuwa sehemu ya msaada.

Fanya maamuzi na yasimamie na pia kuwa tayari kujifunza kwa kina faida na hasara za biashara unohtaji kufanya kabla ya mambo yote.
 
Back
Top Bottom