Nataka nifungue biashara ya kupika keki, kuna shida yoyote kwa Mtoto wa kiume? Nishaurini

Mbona wanaume wengi tu wanatengeneza cake, unapotaka kufanya kitu cha maendeleo yako. Usiangalie nani atasema nini. Wapishi wazuri duniani kote, wengi ni wanaume. Kila la kheri katika biashara yako.
Akikutana na maokoto mengi arudi hapa kuwanunulia wadau vocha za kilimo-kwanza kama ku-appreciate mawazo yao.🤔
 
Hela wakuu ngumu sana!

Nimefikiria hii habar ya kusemaga hizi kazi za kike itanicost sana.

Nimeona nianze na hii biashara ya keki hapa kwetu naona haina ushindan. Yupo tu mtu mmoja tu ndo anapika.

Nipeni ushauri
Keki inaokwa Broo.
Idea nzuri .
 
Hela wakuu ngumu sana!

Nimefikiria hii habar ya kusemaga hizi kazi za kike itanicost sana.

Nimeona nianze na hii biashara ya keki hapa kwetu naona haina ushindan. Yupo tu mtu mmoja tu ndo anapika.

Nipeni ushauri
Hata ukipika mchicha na makande, hakuna shida. Mbona wapishi wengi mahotelini, na majiko ya kwenye mabaa, ni wanaume?
 
Hela wakuu ngumu sana!

Nimefikiria hii habar ya kusemaga hizi kazi za kike itanicost sana.

Nimeona nianze na hii biashara ya keki hapa kwetu naona haina ushindan. Yupo tu mtu mmoja tu ndo anapika.

Nipeni ushauri
KFC angewaza kama wabongo tunavyowaza leo hii hiyo brand isingekuwa mojawapo ya leading fast food franchise ulimwenguni.
 
Piga gazi usiwaze hiyo kama ni kazi ya wanawake
Unajua wapishi wakubwa duniani ni wanaume?
Keki kama una ufundi nao fanya
 
Hela wakuu ngumu sana!

Nimefikiria hii habar ya kusemaga hizi kazi za kike itanicost sana.

Nimeona nianze na hii biashara ya keki hapa kwetu naona haina ushindan. Yupo tu mtu mmoja tu ndo anapika.

Nipeni ushauri
Mkuu keki zipi au ipi unamaanisha? Pika mkuu. KEKI
 
Hela wakuu ngumu sana!

Nimefikiria hii habar ya kusemaga hizi kazi za kike itanicost sana.

Nimeona nianze na hii biashara ya keki hapa kwetu naona haina ushindan. Yupo tu mtu mmoja tu ndo anapika.

Nipeni ushauri
Kazi ni kazi ili mradi halali!Ukianza nijulishe.
 
Hela wakuu ngumu sana!

Nimefikiria hii habar ya kusemaga hizi kazi za kike itanicost sana.

Nimeona nianze na hii biashara ya keki hapa kwetu naona haina ushindan. Yupo tu mtu mmoja tu ndo anapika.

Nipeni ushauri
Miaka ya 2000 niliifanya hiyo kazi unayosema ya kike.
Niliweza kuajili na kujenga nyumba. Ulipoingia ugonjwa wa mafua ya ndege ikawa ndio mwisho wa biashara hiyo baada ya upatikanaji wa mayai kuwa mgumu.
Sasa wewe endelea kusema ya kike.
Kwani haujawaona wanaume wenzako wakiwasuka nywele wanawake? Na hao utawatafsiri vipi?
 
Back
Top Bottom