Hypersonic WMD
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,337
- 1,876
Watu mbona wana hadi ofisi za kukuna nazi siku hizi. Kwani kutengeneza keki kuna shida gani?Hela wakuu ngumu sana!!
Nimefikiria hii habar ya kusemaga hizi kazi za kike itanicost sana.
Nimeona nianze na hii biashara ya keki hapa kwetu naona haina ushindan. Yupo tu mtu mmoja tu ndo anapika.
Nipeni ushauri
Biashara ya kupika sio ya kike,in short hamna biashara ya kike au ya kiume.watu kama akina harland wangeogopa kupika tusingekuwa na KFCHela wakuu ngumu sana!!
Nimefikiria hii habar ya kusemaga hizi kazi za kike itanicost sana.
Nimeona nianze na hii biashara ya keki hapa kwetu naona haina ushindan. Yupo tu mtu mmoja tu ndo anapika.
Nipeni ushauri
Kama kuna nyakati unapaswa kufata hisia zako ,basi ni nyakati za kufanya maamuzi.Hela wakuu ngumu sana!!
Nimefikiria hii habar ya kusemaga hizi kazi za kike itanicost sana.
Nimeona nianze na hii biashara ya keki hapa kwetu naona haina ushindan. Yupo tu mtu mmoja tu ndo anapika.
Nipeni ushauri
Usiweke amira kama wengine, utapata wateja wengi!Hela wakuu ngumu sana!!
Nimefikiria hii habar ya kusemaga hizi kazi za kike itanicost sana.
Nimeona nianze na hii biashara ya keki hapa kwetu naona haina ushindan. Yupo tu mtu mmoja tu ndo anapika.
Nipeni ushauri
nimekua na mawazo hayo tangu na kua kuna biashara nilikua naziona zinalipa lakini nikawa nasema n za kike naziachaBiashara ya kupika sio ya kike,in short hamna biashara ya kike au ya kiume.watu kama akina harland wangeogopa kupika tusingekuwa na KFC
bora we mwenye huu mtizamoKazi ni kazi hakuna cha Mwanaume au Mwanamke.
Azichunguze biashara kwa ukaribu aone kama ni za jinsi ya kike au kiume!Biashara haina uke wala uume hadi useme hii inafaa na ile haifai.Biashara ya kupika sio ya kike,in short hamna biashara ya kike au ya kiume.watu kama akina harland wangeogopa kupika tusingekuwa na KFC
keki hawawekagi hamira?? sasa inaumukajeUsiweke amira kama wengine, utapata wateja wengi!
Na sehemu nyingi za mapishi/wapishi huwa ni wanaume.Biashara ya kupika sio ya kike,in short hamna biashara ya kike au ya kiume.watu kama akina harland wangeogopa kupika tusingekuwa na KFC
Hizo mnazokula huwa hazina amira?keki hawawekagi hamira?? sasa inaumukaje
Biashara ya kike ni "kupewa mimba na kujifungua" tu.Zingatia neno kupewa mimba.nimekua na mawazo hayo tangu na kua kuna biashara nilikua naziona zinalipa lakini nikawa nasema n za kike naziacha