Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Akikutana na maokoto mengi arudi hapa kuwanunulia wadau vocha za kilimo-kwanza kama ku-appreciate mawazo yao.🤔Mbona wanaume wengi tu wanatengeneza cake, unapotaka kufanya kitu cha maendeleo yako. Usiangalie nani atasema nini. Wapishi wazuri duniani kote, wengi ni wanaume. Kila la kheri katika biashara yako.
Keki inaokwa Broo.Hela wakuu ngumu sana!
Nimefikiria hii habar ya kusemaga hizi kazi za kike itanicost sana.
Nimeona nianze na hii biashara ya keki hapa kwetu naona haina ushindan. Yupo tu mtu mmoja tu ndo anapika.
Nipeni ushauri
Kuoka ni moja kati ya aina za kupika.Sayansikimu darasa la nne.Keki inaokwa Broo.
Idea nzuri .
Lugha ni utata.Mrekebishe abishe hadi ushibe.Hujui hata tofauti ya jiko na ofisi hizo keki ndio.utaweza kupika? Eti nataka kufu gua ofisi ya keki nyoooooo
masimango.Hujui hata tofauti ya jiko na ofisi hizo keki ndio.utaweza kupika? Eti nataka kufu gua ofisi ya keki nyoooooo
Hata ukipika mchicha na makande, hakuna shida. Mbona wapishi wengi mahotelini, na majiko ya kwenye mabaa, ni wanaume?Hela wakuu ngumu sana!
Nimefikiria hii habar ya kusemaga hizi kazi za kike itanicost sana.
Nimeona nianze na hii biashara ya keki hapa kwetu naona haina ushindan. Yupo tu mtu mmoja tu ndo anapika.
Nipeni ushauri
KFC angewaza kama wabongo tunavyowaza leo hii hiyo brand isingekuwa mojawapo ya leading fast food franchise ulimwenguni.Hela wakuu ngumu sana!
Nimefikiria hii habar ya kusemaga hizi kazi za kike itanicost sana.
Nimeona nianze na hii biashara ya keki hapa kwetu naona haina ushindan. Yupo tu mtu mmoja tu ndo anapika.
Nipeni ushauri
Mkuu keki zipi au ipi unamaanisha? Pika mkuu. KEKIHela wakuu ngumu sana!
Nimefikiria hii habar ya kusemaga hizi kazi za kike itanicost sana.
Nimeona nianze na hii biashara ya keki hapa kwetu naona haina ushindan. Yupo tu mtu mmoja tu ndo anapika.
Nipeni ushauri
Unajua kutengeneza au ndo unataka kijifunza??keki hawawekagi hamira?? sasa inaumukaje
Na ukikuta mwanaume anapika huwa wanapika kweli yani wanajua.Hata ukipika mchicha na makande, hakuna shida. Mbona wapishi wengi mahotelini, na majiko ya kwenye mabaa, ni wanaume?
Kazi ni kazi ili mradi halali!Ukianza nijulishe.Hela wakuu ngumu sana!
Nimefikiria hii habar ya kusemaga hizi kazi za kike itanicost sana.
Nimeona nianze na hii biashara ya keki hapa kwetu naona haina ushindan. Yupo tu mtu mmoja tu ndo anapika.
Nipeni ushauri
Miaka ya 2000 niliifanya hiyo kazi unayosema ya kike.Hela wakuu ngumu sana!
Nimefikiria hii habar ya kusemaga hizi kazi za kike itanicost sana.
Nimeona nianze na hii biashara ya keki hapa kwetu naona haina ushindan. Yupo tu mtu mmoja tu ndo anapika.
Nipeni ushauri
Unaweza kua stripper? Twerker? Kungwi? Usiseme kaz ni kazi kama ilivo mwanamke hawez kua mwana apollo azame chiniKazi ni kazi hakuna cha Mwanaume au Mwanamke.
SawaKuoka ni moja kati ya aina za kupika.Sayansikimu darasa la nne.
-kutokosa
-kukaanga
-kuoka/kuchoma
-kuchemsha nk.