R-K-O
JF-Expert Member
- Jun 27, 2023
- 482
- 2,178
Habari zenu, Nataka niongeze kipato nje ya mshahara wa ajira, nimeona nichote milioni 7 kwenye akiba nifungue biashara ya ps,
gharama nilizopangilia, naombeni mnisahishe, kunishauri na mnipe mawazo mengine
PS4 nne zenye games 2,500,000
tv nne 1,500,000
pad mtumba za ziada - 300,000
spea za kurekebishia padi - 200,000
viti 200,000
Chumba miez minne 800,000
ukarabati, kuchora, stabilizer, taa, n.k 500,000
Tin namba ya eneo la biashara - bure)
Tax clearance ya Tra kodi utayoambiwa ulipie kila baada ya miezi minne - 80,000
.
leseni ya biashara - elf 80 kwa mwaka
.
kibali cha afisa utamadhni na sanaa / gaming board - elf 20 kwa mwaka
Jumla ni 6.180,000/=
ni mambo yapi mengine nizingatie ?