Nataka nifungue Stationery Nianze na vifaa vipi ihali nina mtaji wa 900,000?

Nataka nifungue Stationery Nianze na vifaa vipi ihali nina mtaji wa 900,000?

1. Rim papers
2. Staplers na pin zake
3. Manila papers na transparent sheets for binding
4. Lamination sheets
5. Pens, pencils, erasers na Rulers
6. L3110 inaweza kuprint colored picture. Kama unaweza toa na huduma ya passports photos
7. bahasha za A4 na zile ndogo zake
8. Weka daftari za kawaida na counter books
 
1. Rim papers
2. Staplers na pin zake
3. Manila papers na transparent sheets for binding
4. Lamination sheets
5. Pens, pencils, erasers na Rulers
6. L3110 inaweza kuprint colored picture. Kama unaweza toa na huduma ya passports photos
7. bahasha za A4 na zile ndogo zake
8. Weka daftari za kawaida na counter books
Asante sana mkuu, passport pia huwa natoa, maana printer yangu ilikuwa inafanya kazi vijijini hivyo nimehamia mjini na passport nilikuwa natoa hata picha nilikuwa nasafisha.
 
Mkuu betting hailipi tena? Ulikuwa unaweka mizigo unashusha odds tunafata wadau... Nimekula sana za uso mpaka nikimbia uzi wenu, tangu 2019 sijaufungua tena nauona tu unatrend kila siku sitaki tena mazoea nao tena unavishawishi vingi aisee ukikaa vibaya kule kufirisika ni chapu maana kwa tathimin yangu ndogo kule wamejaa jobless na waliojikatia tamaa ya maisha
 
Habari?

Kama mada inavyo jieleza nina mtaji wa 900,000 ila tayari nina Epson L3110, lamination machine na PC ambayo nitaanza nayo.

Je' nianze na vifaa vipi muhimu vya kuweka kwenye stationery yangu?
Hongera sana mkuu kwa kuwa na wazo la kuanza kitu. kama mdau alivyoshauri hapo chini anza na hivyo vitu na uwe mbunifu. Mimi nimefanya hii biashara nmeifanya sana miaka ya 2014 hadi 2018, ilikuwa inalipa sana.
Kuna mtu alisema anataka kufanya hii biashra anataka mtaji, nimempa mara saba ya hiyo ela yako tangu feb tarehe 14 mpaka now hajaanza anasema eti ela haitoshi. mambo mengine ukifikiria yanatia hasira.
 
Back
Top Bottom