Afadhali ufungue kiduka kidogo uza juice maji energy drinks etc.....nimewaza tuHabari?
Kama mada inavyo jieleza nina mtaji wa 900,000 ila tayari nina Epson L3110, lamination machine na PC ambayo nitaanza nayo.
Je' nianze na vifaa vipi muhimu vya kuweka kwenye stationery yangu?
Asante sana mkuu, passport pia huwa natoa, maana printer yangu ilikuwa inafanya kazi vijijini hivyo nimehamia mjini na passport nilikuwa natoa hata picha nilikuwa nasafisha.1. Rim papers
2. Staplers na pin zake
3. Manila papers na transparent sheets for binding
4. Lamination sheets
5. Pens, pencils, erasers na Rulers
6. L3110 inaweza kuprint colored picture. Kama unaweza toa na huduma ya passports photos
7. bahasha za A4 na zile ndogo zake
8. Weka daftari za kawaida na counter books
iyo printer tamu sana aseee, now ni sh ngap mkuuMchawi location,napinga sana pesa kupita Epson l805
mkuu una uelewa na hii biashara ya wazo lako mana nina ilo wazo bt sina uzoefu wowoteAfadhali ufungue kiduka kidogo uza juice maji energy drinks etc.....nimewaza tu
Jifunze hata kuuliza kwa watu....mkuu una uelewa na hii biashara ya wazo lako mana nina ilo wazo bt sina uzoefu wowote
ndo mana nimekuuliza kma una uzoefu nayo ili nianze kujifunza kwakoJifunze hata kuuliza kwa watu....
Hongera sana mkuu kwa kuwa na wazo la kuanza kitu. kama mdau alivyoshauri hapo chini anza na hivyo vitu na uwe mbunifu. Mimi nimefanya hii biashara nmeifanya sana miaka ya 2014 hadi 2018, ilikuwa inalipa sana.Habari?
Kama mada inavyo jieleza nina mtaji wa 900,000 ila tayari nina Epson L3110, lamination machine na PC ambayo nitaanza nayo.
Je' nianze na vifaa vipi muhimu vya kuweka kwenye stationery yangu?
900,000-1,200,000iyo printer tamu sana aseee, now ni sh ngap mkuu
duuuuh900,000-1,200,000
SafiiiiAsante sana mkuu, passport pia huwa natoa, maana printer yangu ilikuwa inafanya kazi vijijini hivyo nimehamia mjini na passport nilikuwa natoa hata picha nilikuwa nasafisha.