Nataka nifungue Stationery Nianze na vifaa vipi ihali nina mtaji wa 900,000?

Ule uzi wa kiboya sana mkuu sitaki tena betting na nimesha acha mkuu saiv natunza familia.
 
Kule tupo mchanganyiko kama kijiwe chà kahawa tu.
Kuna wengine hawana kazi yòyote wanategemea betting tu, wamekata tamaa. Hao wanabeti kila siku, wakiliwa ndio unawakuta PM wanaomba uwaungie.

Kuna wenye shughuli zao, betting ni kama ziada tu, anabeti wikiendi tu. Kuna muda anakuwa na mtaji kabisa ila anakosa muda wa kutulia na kuandaa mkeka.

Kuna waajiriwa pia, mshahara ukitoka tarehe za mechi nzuri ni heri kwake. Ana bajeti yake kabisa, ikiliwa basi maisha mengine yanaendelea.

Yote kwa yote betting na hela ya biashara haitakiwi kabisa kwa maoni ýangu. Bora kidogo hela ya mshahara au ufundi.
Kuna mwamba tulikuwa naye UDSM miaka michache iliyopita alikuwa anatupia hadi nusu ya boom ila siku hizi kaacha kabisa, anafanya biashara. Japo anapata faida ndogo lajini ni ya uhakika sio ya presha kama betting mkeka unatiki au kuchanika dakika ya 96.
 
Bahasha A4, A5, A6, A3
Asisahau kuuza Ream paper, zina faida kubwa na ya haraka kuliko vifaa vyote.
 
kule hapafai kabisa mkuu. Hivi @deepond pado anatupia na kuweka mizigo yake ya inplay?
Aliliwa mfululizo mwisho wa siku akatokomea [emoji23][emoji23], pia alicho bakiza akaachana na betting akaenda kwenye mapenzi michepuko mingi sana
 
Kila la kheri, kumbuka kuweka kumbukumbu za biashara. Usitoe kitu bila kukirekodia na usifanye biashara kichaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…