Nataka niifukie 9,200,000

Nataka niifukie 9,200,000

Bandu Ncheche

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2016
Posts
512
Reaction score
326
Nataka niingize kiasi tajwa kwenye kilimo Cha mazao ya muda mfupi,siku 90-180 mavuno,lengo ni kupata 30,000,000 ili nifanye mambo fulani,Ni zao lipi linaweza kunifikisha kwenye kwenye lengo?
Wazoefu kujeni nahitaji mawazo yenu.
 
Nenda ifakara kachukue mchele usambaze vijijini ktk mikoa ya kusini
 
Lima mahindi, kwa kiasi hicho unaweza kupata faida kubwa, cha msingi angalia sehemu ambayo mvua ni uhakika.
 
Back
Top Bottom