Nataka niifukie 9,200,000

Nataka niifukie 9,200,000

Tuanzie hapa kwanza, Je umekubali kuchakaa mwili na akili?

Biashara ya Mazao inataka Undundame haswa lasivyo utakuja kulia lia lia iwe kama ndoto.

Kiufupi ukitaka kuruka lazima ubonyee chini, sasa hapo kwenye kubonyea ndio mtihani.
Nimekubali lete ushauri wako Sasa
 
Kwa kuanza achana na mahindi na post zote zinazosema Lima mahindi.

Mahindi hayatabiriki.

Soko soko soko soko soko soko soko ukifeli timing ya soko tu lolote linaweza kutokea.

Nyanya na hoho zinawezA kuwa mkombozi wako Kama utavuna mwezi wa 12 mwanzoni na kuendelea hakikisha unaujua udongo wako vizuri.

Mazao store maharage mchele hiyo ni uhakika
 
Dah! Kilimo hakitabiliki unaweza faidika au kujutia.
Kaza roho
 
Thubutu! Kiongozi usichukue huu ushauri mm ni muhanga!!? Ishu sio kununua ishu ipo kwa dalali! Kheri ulime umalizane hukohuko shamba kuliko kuja na mzigo sokoni! Madalali ni matatizo wana juana wenyewe kwa wenyewe!!! Ushauri wa huyu ndugu ni mzuri ila achana nao labda kama wewe ni dalali!
Biashara ya kununua mazao ingependeza sana
 
Nataka niingize kiasi tajwa kwenye kilimo Cha mazao ya muda mfupi,siku 90-180 mavuno,lengo ni kupata 30,000,000 ili nifanye mambo fulani,Ni zao lipi linaweza kunifikisha kwenye kwenye lengo?
Wazoefu kujeni nahitaji mawazo yenu.
Lima kilimo cha bustani kinalipa Sana lina mchicha kwa wingi Sana na Lima spinach na tembele
 
Nataka niingize kiasi tajwa kwenye kilimo Cha mazao ya muda mfupi,siku 90-180 mavuno,lengo ni kupata 30,000,000 ili nifanye mambo fulani,Ni zao lipi linaweza kunifikisha kwenye kwenye lengo?
Wazoefu kujeni nahitaji mawazo yenu.
Nataka niingize kiasi tajwa kwenye kilimo Cha mazao ya muda mfupi,siku 90-180 mavuno,lengo ni kupata 30,000,000 ili nifanye mambo fulani,Ni zao lipi linaweza kunifikisha kwenye kwenye lengo?
Wazoefu kujeni nahitaji mawazo yenu.
Mimi ni mkulima maarufu wa kilimo cha mtaandaoni syo shambani , hivyo ushauri wangu kama uko mkoa wa Pwani lima myanya kwa greenhouse uvune mwezi wa 4 na 5 ulete ilala bungoni hakika uta furahi na utakumbuka
 
Haha haha eti ukitaka kuruka lazima ubonyee [emoji23][emoji23]
Tuanzie hapa kwanza, Je umekubali kuchakaa mwili na akili?

Biashara ya Mazao inataka Undundame haswa lasivyo utakuja kulia lia lia iwe kama ndoto.

Kiufupi ukitaka kuruka lazima ubonyee chini, sasa hapo kwenye kubonyea ndio mtihani.
 
lima mpunga, ungweahi ungelima maharage ya umwagiliaji baada ya miezi miwila na nusu unavuna then mwezi december unalima mpunga
 
Ingia kwa madini kuja kwa pm na commision kidogo kwa week unaingiza 3,000,000 as profit kwa mwezi unakula 12,000,000 sio miezi sita ni miezi miwili tu na week mbili unapata milion 30,000,000 plus msingi wako 9,200,000 itakuwa 39,200,000
 
Madini gani mkuu?
 
Ikoje hi no yako pse
 
Jiunge kikoba kisha Chukua milion 6 kisha weka hisa. Baada ya miez michache utaweza kukopa mara 3 ya hiyo milion 6 hivyo utakuwa na milio18 kwa riba ndogo ya 10%. Chukua hizo milion 18 kanunue maguni ya mpunga hifadhi kisha uje kuuza.

Usiende kulima kwa sababu hujawahi na hujui changamoto za kilimo.
 
Back
Top Bottom