Bandu Ncheche
JF-Expert Member
- Jul 9, 2016
- 512
- 326
100%Biashara ya kununua mazao ingependeza sana
Asali, mchele/mpunga, mahindiMazao gani mkuu??
Mazao gani mkuu??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]Kanji kawa mkali mkuu tutazika mtuMpeni odd 4 za uhakika[emoji3][emoji3]
[emoji124][emoji124][emoji124]
Labda ununue na kuuza ila kulima sio salamaaa mkuuAsali, mchele/mpunga, mahindi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Dah.Mpeni odd 4 za uhakika[emoji3][emoji3]
[emoji124][emoji124][emoji124]
Asante mkuuLima mahindi, kwa kiasi hicho unaweza kupata faida kubwa, cha msingi angalia sehemu ambayo mvua ni uhakika.
Asali miezi 3 au 6 inawezekana?Labda ununue na kuuza ila kulima sio salamaaa mkuu
Mikoa ipi mkuu?Nenda ifakara kachukue mchele usambaze vijijini ktk mikoa ya kusini
HaijahalalishwaBangi ingehalalishwa ingekutoa,anyway ukiitaji shamba nichek pm
Biashara ya kununua mazao ingependeza sana