Peter_John
Member
- Sep 12, 2022
- 53
- 91
Habari zenu Wana JF, kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu, nataka niingie kwenye Kilimo na kama unavyojua kilimo chetu hapa kibongo bongo ni kwenye ardhi ingawa teknologia ya sasa unaweza ukalima hata ghorofani ila sana sana wengi wetu tumezoea kulima ardhini.
Hivyo basi kama kuna mtu anauza eneo /shamba maeneo ya mkoa wa Pwani tuwasiliane PM, kwa kuanzia natakata heka mbili tatu au hata heka 1, na kuhusu bei sio Yale mashamba ya 10M kwa heka hiyo hapana, ni Yale ya bei ya chini.
Ni hayo tu 🙏