Nataka niishi maisha ya KINAFIKI ili nitoboe kimaisha.

Nataka niishi maisha ya KINAFIKI ili nitoboe kimaisha.

Jiunge CCM tu. Kama Musiba, utatoboa mapeeeema.
Siku hizi ukitaka utoboe mapema kimaisha ishi maisha ya kinafki nafki utatoboa sana kimaisha

Nataka niwe mtu wa kusifia sifia tu kiwe kibaya kiwe kizuri nasifia tu as long as nayemsifia ana hela

nataka nipendeze kimuonekano na maisha ya kuigiza igiza ili nipate michongo ya pesa ya chap chap

maisha bila unafiki hayaendi.

Na hapa watakuja wanafiki wengine kukandia thread yangu ya kinafiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom