Haiwezi kuwa hiyokwa sababu wanaopigana vikumbo hivyo wengine ni mafisadi wakubwa wana hela nyingi na hawana shida na viposho uchwara wala hivyo vyeo vya DC au RC.Faida moja wapo ya kuwa mjumbe wa Magamba-NEC ni kula Posho, kupewa ukuu wa mkoa au wilaya.
Unakuwa unauza sura kisha dili zako chafu zinafichwa we unatengeneza mapene.
Faida zingine ni kwamba unakuwa juu ya Sheria, Unaweza Endesha gari bila hata kuwa bima na usifanywe chochote, Utafanya kila Aina ya Ufisadi ikiwemo kuuza Wanyama Nje ya Nchi
Kuwa ndani ya NEC ni tiketi tosha ya kukutana na wakubwa,
kuukwaa ukurugenzi katika taasisi za serikali, kufanya biashara
yoyote unayoitamani, kukwepa kodi nk...
Ndio uzalendo kama wa chenge kuficha vijisenti vya rada nje, lowasa na richimond, hata kuuza wanyama pori hai nje na kuingia mikataba ya kimangungo tena kwa ari, nguvu na kasi zaidi. bila ya sifa hizo ujumbe wa nec utaishia kuusikia tu.kigezo cha kwanza huwa ni uzalendo,uaminifu na uchapakazi.hayo uliyoandika wewe ni uzushi mtupu
Nyie ndo mafisadi mapapa mnalinajisi taifa hili ndo maana linarudi kinyume nyumenaona unajaribu kuelezea ujinga wa akili yako hapa mbele za watu.
Vigezo hivyo vilitumika enzi za Nyerere nec ya sasa wanaangalia uwezo wa pesa wa mtu nitajie mkulima/mfanyakazi gani ni kapuku ndani ya nec.kigezo cha kwanza huwa ni uzalendo,uaminifu na uchapakazi.hayo uliyoandika wewe ni uzushi mtupu