Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio siri umeharibiwa na ChamaCha Mafisadi, una hasira na wanachi wanaokwapuliwa mali zao na wezi, utaoza kwa hasiraningekuwa na akili ya kipuuzi kama ya kwako ningeamua kwenda mirembe
SISIEMU ni chama hatari sana sana kinapandikiza udini,ukabila na mauaji Tanzania,Chama hiki 2010 kilikataliwa sana mijini,lakini kwa sasa mpaka vijijini ndani ndani huko Maswa,Meatu,Bukombe,Ukerewa n.k.,wote wazee kwa vijana wamekikataa hawakitaki tena,hawataki hata kukisikia wanasema 2015 lazima wakichinjie baharini.Chadema vipi? hakuna huko kugombea wajumbe? au huko anaamuwa Mwenyekiti? fulani na fulani na fulani?
kigezo cha kwanza huwa ni uzalendo,uaminifu na uchapakazi.hayo uliyoandika wewe ni uzushi mtupu
NEC ni kamati ya juu kabisa kimamuzi katika chama. Hivyo, Ndio yenye kuleta rais, kuidhinisha m/kiti wa chama na makatibu. Na ndo maana kuna vikumbo sana
Ni chombo ambacho hakitakua na maana yoyote miaka miwili na nusu kutoka sasa!
acha kuwa na akili kama ZOBA jibu hoja habari ya cdm ilikuwa ulete hiyo hoja. Au hii ID ni ya chemba niniChadema vipi? hakuna huko kugombea wajumbe? au huko anaamuwa Mwenyekiti? fulani na fulani na fulani?
Mjumbe wa nec manake ni mujumbe wa kikao cha juu kabisa cha maamuzi cha chama kazi yake kubwa ni kutoa dira na mwelekeo wa chama iwe ccm au tlp au chadema.tusipindishe ukweli na maana za vitu
Nani alitishiwa bastola?Wakuu tumeshuhudia watu wakipigana vikumbo kugombea nafasi kadhaa ndani ya CCM na wengine kuhonga vitumbua ili tu wapate kuchaguliwa wajumbe wa mkutano mkuu au NEC mimi nataka nijue kuwa mjumbe wa NEC CCM kuna faida/maslahi gani mpaka ifike hatua watu wanatishana na bastola? Je kuna marupu rupu na posho ma/kubwa kwenye uwakilishi wa ujumbe wa NEC? Ni nini haswa faida kuwa mjumbe wa NEC mpaka mtu anadiriki kutumia mamilioni ya shillingi ili awe tu mjumbe je anapata faida gani? Akina zomba, Ritz, Rejao, Kibunango na wengineo naombeni nifahamu faida zake.