Nataka nijue kusoma Quaran

Nataka nijue kusoma Quaran

Karibu sana mkuu Allah akufanyie wepesi ufuate misingi sahihi ya dini ya kiislamu
 
Na yale mapepo yanayotolewa woteni waislam acha kashfa ya dini mimi naamini dini zote ni za haki
Hii dhana ya majini kwenye dini ya uislamu inawapoteza sana... mwisho wa siku utaulizwa Je hukupewa macho ya kuonea??? Hukupewa ulimi wa kuongelea?? Na masikio ya kusikia?? Sasa ni kipi kilichokupoteza??

JIONGOZE USIONGOZWE...
 
Nakumbuka nikiwa darasa la kwanza nilianza hilo zoezi, nakumbuka herufi ya kwanza tu alif.... tena unaanzia kushoto kwenda kulia..Zingine sikumbuki

Kama una mpango wa kufanya kazi uarabuni, better do it.
Umedanganya huanzi kushoto kwenda kulia Bali huanza kulia kuelekea kushoto
 
Unamaliza mashafu au nn hiyo miezi mitatu shekh au unataka ajue sura bazo zitamsaidia kwenye sara

anakuwa na basics vingine vinakuja outmatic, uzuri ni kwamba miundo mbinu ya kufundishia ipo na pakufanyia mazoezi papo accessible ni yeyetu..
 
Back
Top Bottom