Kijana kijana
JF-Expert Member
- Mar 11, 2018
- 2,546
- 2,621
Mimi napenda kuwa muislam kwaajili ya kuoa wake wanne.
Ukristo na roho mtakatifu uislamu na jini. Jiandae.
Hii dhana ya majini kwenye dini ya uislamu inawapoteza sana... mwisho wa siku utaulizwa Je hukupewa macho ya kuonea??? Hukupewa ulimi wa kuongelea?? Na masikio ya kusikia?? Sasa ni kipi kilichokupoteza??Na yale mapepo yanayotolewa woteni waislam acha kashfa ya dini mimi naamini dini zote ni za haki
Umedanganya huanzi kushoto kwenda kulia Bali huanza kulia kuelekea kushotoNakumbuka nikiwa darasa la kwanza nilianza hilo zoezi, nakumbuka herufi ya kwanza tu alif.... tena unaanzia kushoto kwenda kulia..Zingine sikumbuki
Kama una mpango wa kufanya kazi uarabuni, better do it.
Unamaliza mashafu au nn hiyo miezi mitatu shekh au unataka ajue sura bazo zitamsaidia kwenye sara
Hii miezi 3 unakuwa umekariri kama wimbo.