Damian J Ntundagi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2017
- 1,652
- 2,355
Acha utani kasema anakopa 2mfungua kiwanda cha saruji
Hapana mkuu ni USD 2mil maana hakuna sehemu amesema ni Tsh.Acha utani kasema anakopa 2m
Saruji mtaji kihasigani?Hapana mkuu ni USD 2mil maana hakuna sehemu amesema ni Tsh.
dodge
Shilingi kuzaa shilingi au zaidi ya hapo ni biashara ndogo ndogo au za reja reja mfano karanga.., kwenye stiff competition profit margin ni ndogo sana..Kwenye Biashara Nzuri:
Lazima Shilingi Izae Shilingi.
Yaani:
Ukitumia Tsh 1,000 Ukapata Faida Ya Tsh 200.
Next Stage, Hiyo Tsh 1,000 Itaingiza Na Tsh 200 Itaingiza.
Na Kadri unavyokuwa na kupata faida, unatanua biashara yako.
Hio sio shilingi kuzaa shilingi ni investment and re-investment, (kuendelea kuwekeza na kukua), kuna biashara mtu anatumia other peoples money from get go...., mfano real estate huenda asiweke hata senti yake moja ni mikopo na pesa za wapangaji ndio zinatumika....
Wazo ni nini sihayo nimeyaandika mawili hapa napima uzito tu wa mawazo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni sawa na mtu kuja hapa na kichwa cha habari ''Jamani natarajia kuoa hivi karibuni naombeni mnishauri nimfanyeje huyo mke akishaingia kwenye ndoa''
Kuwa n kiwanja mchezo wew n kiwe n hatiNenda crdb kalipie asilimia 20 ya gharama za bodaboda plus asilimia mmoja ya bima . Then ujidhamini kupitia kiwanja chako kiasi cha pesa kilichobakia.
Uanze kuendesha boda boda.
Hebu nisaidie maelezo kwa kina hapa huenda nikapata pa kuanziaNenda crdb kalipie asilimia 20 ya gharama za bodaboda plus asilimia mmoja ya bima . Then ujidhamini kupitia kiwanja chako kiasi cha pesa kilichobakia.
Uanze kuendesha boda boda.