Nataka nikope Bank. Biashara gani itaniwezesha kurudisha mkopo haraka?

Nataka nikope Bank. Biashara gani itaniwezesha kurudisha mkopo haraka?

Kwenye Biashara Nzuri:

Lazima Shilingi Izae Shilingi.
Shilingi kuzaa shilingi au zaidi ya hapo ni biashara ndogo ndogo au za reja reja mfano karanga.., kwenye stiff competition profit margin ni ndogo sana..

Yaani:

Ukitumia Tsh 1,000 Ukapata Faida Ya Tsh 200.

Next Stage, Hiyo Tsh 1,000 Itaingiza Na Tsh 200 Itaingiza.

Na Kadri unavyokuwa na kupata faida, unatanua biashara yako.
Hio sio shilingi kuzaa shilingi ni investment and re-investment, (kuendelea kuwekeza na kukua), kuna biashara mtu anatumia other peoples money from get go...., mfano real estate huenda asiweke hata senti yake moja ni mikopo na pesa za wapangaji ndio zinatumika....
 
Biashara ni ngumu sana sikuhizi.
Wanaofanikiwa ni wale wenye advantages kama kutokulipa pango, na urahisi wa usafiri muuzaji/bidhaa.

Vinginevyo utafanya kwa miaka miwili na utaacha.

Fanya SWOT analysis vizur kabla ya kuamua.
 
Nijuavyo Mimi, biashara ya kuanzishia mkopo lazima udunde chini! Unless isiwe ya kulipia flame! Ndio maana hata mabank hutoa mkopo wa kuendeshea biashara maana hapo unakua umejua mzunguko wako,Wateja wako! Lakini sikuvunji moyo bs in every general rule there is an exceptional!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko kwenye hatari sana mkuu kuanza biashara mpya ni changamoto sana kufa na kufanikiwa ni nusu kwa nusu.

Kila la kheri unaachotaka kujua na kushauriwa hakipo kabisa nachofanya mimi kikanilipa unaweza kufanya mwingine na asipate faida kabisa.

Just take calculated risk and see what's the world will offer you nothing else

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom