Tapeli2M ni pesa ndogo sana kufanyia biashara ,jipige pige ukope hata 10M uje nikupe wazo la biashara na location pia naku pointia .
Maana frem hiyo location wanapangisha 600,000/= kwa mwezi na mwenyewe anataka malipo ya mwaka sababu hakai Tz sawa na 7.2M ikibaki 2.8M ni kwa ajiri ya biashara.
Nakuakikishia hiyo 10M ndani ya mwezi inakuwa isharudi yaani hakuna kufeli.
biashara ya 2milion izalishe 10mil per month?? ni ngada au milungi?2M ni pesa ndogo sana kufanyia biashara ,jipige pige ukope hata 10M uje nikupe wazo la biashara na location pia naku pointia .
Maana frem hiyo location wanapangisha 600,000/= kwa mwezi na mwenyewe anataka malipo ya mwaka sababu hakai Tz sawa na 7.2M ikibaki 2.8M ni kwa ajiri ya biashara.
Nakuakikishia hiyo 10M ndani ya mwezi inakuwa isharudi yaani hakuna kufeli.
Upo mji gani???biashara ya 2milion izalishe 10mil per month?? ni ngada au milungi?
地那天刚才妇产科☆
Kama hauwezi kubadili 2 kuwa 10 basi elimu yako haijakusaidia kitu chochote.Hapo ndio utajua tatizo sio elimu,bali tatizo lipo kwny kubadilisha elimu kuwa pesa.
Boss elezea iyo biashara.Kama hauwezi kubadili 2 kuwa 10 basi elimu yako haijakusaidia kitu chochote.Hapo ndio utajua tatizo sio elimu,bali tatizo lipo kwny kubadilisha elimu kuwa pesa.
Wasomi wengi wana maisha magumu sababu hawawezi kubadilisha elimu yao kuwa pesa,ndio maana nimeongea mtu anaweka 2M anapata 10M mtu anashangaa. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787][emoji1787]
Hahhahah..! Huwa watu huko ulaya wanalipwa kutoa business idea boss .Ni biashara halali lakini una mtime supplier anakupa mzigo kwa kubadilishana na kitu (sio pesa) wakati wa demand ipo chini unaenda uza baada ya demand kuwa kubwa faida ni mara 10 .Figure it out.Boss elezea iyo biashara.
Portfolio | 2020
I'll pay too.Hahhahah..! Huwa watu huko ulaya wanalipwa kutoa business idea boss .
Ingekuwa ni business plan ningekubaliana na swala la malipo lakini business idea hapana.Hahhahah..! Huwa watu huko ulaya wanalipwa kutoa business idea boss .
Bila kulipa nishakujibu tyr hapo,km ww mjanja ushajua hiyo biashara.I'll pay too.
Portfolio | 2020
Business Idea selling, is Business??Bila kulipa nishakujibu tyr hapo,km ww mjanja ushajua hiyo biashara.
hmmmm..2M ni pesa ndogo sana kufanyia biashara ,jipige pige ukope hata 10M uje nikupe wazo la biashara na location pia naku pointia .
Maana frem hiyo location wanapangisha 600,000/= kwa mwezi na mwenyewe anataka malipo ya mwaka sababu hakai Tz sawa na 7.2M ikibaki 2.8M ni kwa ajiri ya biashara.
Nakuakikishia hiyo 10M ndani ya mwezi inakuwa isharudi yaani hakuna kufeli.
Mmevuta bangi ya wapi?? Kiwanda cha saruji si chini ya 20 Billions,labda huwe unanunua clincker kutoka kwa giants company za Cement kama Simba na Twiga then una invest kiasi kidogo kama 7billions kwenye VsK ,conveyors,na packaging machines,Gypsum ,pozzolana,cement bags na kulipa wafanyakazi.Naunga mkono hoja.
dodge
Mmevuta bangi ya wapi?? Kiwanda cha saruji si chini ya 20 Billions,labda huwe unanunua clincker kutoka kwa giants company za Cement kama Simba na Twiga then una invest kiasi kidogo kama 7billions kwenye VsK ,conveyors,na packaging machines,Gypsum ,pozzolana,cement bags na kulipa wafanyakazi.
Usikalili boss !hata business idea inauzwa,tafuta manguli waliobobea kwny maswala ya biashara wakuelekeze unawezaje kuuza wazo lako la biashara .Business Idea selling, is Business??
Portfolio | 2020
Sikweli, yule jamaa nilionananae pale ubungo.Usikalili boss !hata business idea inauzwa,tafuta manguli waliobobea kwny maswala ya biashara wakuelekeze unawezaje kuuza wazo lako la biashara .
Nani ulionana naye ubungo boss?Sikweli, yule jamaa nilionananae pale ubungo.
Portfolio | 2020