Nataka nikope Bank. Biashara gani itaniwezesha kurudisha mkopo haraka?

October man

2M ni pesa ndogo sana kufanyia biashara ,jipige pige ukope hata 10M uje nikupe wazo la biashara na location pia naku pointia .

Maana frem hiyo location wanapangisha 600,000/= kwa mwezi na mwenyewe anataka malipo ya mwaka sababu hakai Tz sawa na 7.2M ikibaki 2.8M ni kwa ajiri ya biashara.

Nakuakikishia hiyo 10M ndani ya mwezi inakuwa isharudi yaani hakuna kufeli.
 
Tapeli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
biashara ya 2milion izalishe 10mil per month?? ni ngada au milungi?

地那天刚才妇产科☆
 
Kama hauwezi kubadili 2 kuwa 10 basi elimu yako haijakusaidia kitu chochote.Hapo ndio utajua tatizo sio elimu,bali tatizo lipo kwny kubadilisha elimu kuwa pesa.

Wasomi wengi wana maisha magumu sababu hawawezi kubadilisha elimu yao kuwa pesa,ndio maana nimeongea mtu anaweka 2M anapata 10M mtu anashangaa. 🤣 🤣 🤣🤣
 
Kama hauwezi kubadili 2 kuwa 10 basi elimu yako haijakusaidia kitu chochote.Hapo ndio utajua tatizo sio elimu,bali tatizo lipo kwny kubadilisha elimu kuwa pesa.

Wasomi wengi wana maisha magumu sababu hawawezi kubadilisha elimu yao kuwa pesa,ndio maana nimeongea mtu anaweka 2M anapata 10M mtu anashangaa. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787][emoji1787]
Boss elezea iyo biashara.

Portfolio | 2020
 
Boss elezea iyo biashara.

Portfolio | 2020
Hahhahah..! Huwa watu huko ulaya wanalipwa kutoa business idea boss .Ni biashara halali lakini una mtime supplier anakupa mzigo kwa kubadilishana na kitu (sio pesa) wakati wa demand ipo chini unaenda uza baada ya demand kuwa kubwa faida ni mara 10 .Figure it out.
 
2M ni pesa ndogo sana kufanyia biashara ,jipige pige ukope hata 10M uje nikupe wazo la biashara na location pia naku pointia .

Maana frem hiyo location wanapangisha 600,000/= kwa mwezi na mwenyewe anataka malipo ya mwaka sababu hakai Tz sawa na 7.2M ikibaki 2.8M ni kwa ajiri ya biashara.

Nakuakikishia hiyo 10M ndani ya mwezi inakuwa isharudi yaani hakuna kufeli.
hmmmm..
 
Naunga mkono hoja.

dodge
Mmevuta bangi ya wapi?? Kiwanda cha saruji si chini ya 20 Billions,labda huwe unanunua clincker kutoka kwa giants company za Cement kama Simba na Twiga then una invest kiasi kidogo kama 7billions kwenye VsK ,conveyors,na packaging machines,Gypsum ,pozzolana,cement bags na kulipa wafanyakazi.
 
Saruji mtaji kihasigani?

Back
Top Bottom