Nataka nimfungulie mke wangu Duka la dawa naombeni Ushauri

Kwangu mimi ni mzuri kwa sababu ndyo niliyemchagua niishi nae na nina familia nae ikitokea kabadilika si mbaya maana nae ni mwanadamu.

Chamsingi nikwamba lzm ukikuwa ufocus kwenye namna ya kutengeneza maisha kwa ajiri ya familia yako ukifkir hicho unachofkiri ww naona kama bado hujakuwa.
Ubarikiwe mkuu.
 
Haya mambo mengine mzee ni madogo madogo sana. Yaani ni ya kumalizana tu huko huko nyumbani na my wife wako. Kama umeona kabisa kuna fursa kwenye hiyo biashara, wewe mfungulie tu shemeji yetu.

Wanaumeee☺☺☺
 
Nina uzoefu wa biashara hii kwa takribani miaka 22 sasa.
  1. Location-Unaliweka wapi,kuna maduka mengine kama hayo,ni kipi ambacho umekiona kama mapungufu kwa wenzio ili urrekebishe na kupata wateja wengi?
  2. Anauza nani?-Kisheria anyeuza ni lazima awe na cheti lakini kama mkeo hana shughuli nyingine itabidi abanane hapo hapo kwani wauzaji wanfaidika mno.Kumbuka hii ni biashara ya reja reja na ni vigumu kufanya stock taking yenye tija mara kwa mara.Wanaiba sana na kama sio mwangalifu anaweza kawa anuza dawa zake (kuna mmoja alikuwa analetewa chakula mchana na ndugu yake lakini kumbe kwenye kapu alikuwa kiletewa dawa za kuuza.
  3. Dawa zilizoorodheshwa kwa ajili ya DLDM ni chache na ni za faida ndogo.Kama una uwezo tafuta namna a kufungua pharmacy.
  4. Fungua account hata ya tigo pesa na pesa ila jioni iingizwe huko.
Naamini nimesaidia kwa kiasi changu.All the good lucky!!!

Sheria za kufungua duka la dawa zikoje? Vibali kwa Mmiliki na muuzaji, aina ya dawa, ofisi iweje kukidhi vigezo?
 
Hakikisha una kadi ya CCM na dukani uweke picha ya mwendazake mengine utayajulia mbele kwa mbele.
 
Mkuu kama hutojali, mtaji wa kiasi gani unafaa kwa mahitaji ya kufungua pharmacy
Kama wewe sio mfamasia iabidi umpate mfamasia wa kuingia naye mkataba.Jambo la pili Pharmacy inahitaji nafasi kubwa.Jambo la tatu dawa zinzouzwa pharmacy kuna mabzo ni ghali sana.
Kwa ujumla ukiondoa maandalizi ya jengo na mfamasia angalau 50m iwepo.Pharmacy kubwa zinzouza dawa jumla zikikuamini wanaweza kukukopesha.
 
Kwahiyo wazee wa negative thought mnamshauli hasimfungulie mkewe biashara ......punguzeni kuwaza negative jamani ukiwa Kama mwanaume inatakiwa utimize majukumu yako mawazo ya kwamba pharmacy itageuka gesti ,linaweza kutokea popote.

ww timiza mjukumu mzee as long as ni kwa ajili ya familia
 
Kwangu mimi ni mzuri kwa sababu ndyo niliyemchagua niishi nae na nina familia nae ikitokea kabadilika si mbaya maana nae ni mwanadamu.

Chamsingi nikwamba lzm ukikuwa ufocus kwenye namna ya kutengeneza maisha kwa ajiri ya familia yako ukifkir hicho unachofkiri ww naona kama bado hujakuwa.
Yaani kama kuna chumba cha kupumzikia kwa ndani,watamlia humo, yawezekana hata akabeba ujauzito ambao siyo wako.Kuna mwalimu kamfungulia mdada duka,ni mkewe,yaani ikifika saa tanotano,kuna boda anakulaga mzigo,hata ufike ubishe hodi mara hamsini,dada yule hatokei,hadi wamalize.
 
Daah😂😂
 
Huu wivu wako wa kujitahidi kumuaminisha mwenzio Ili asiendelee yy na mke wake kisa ww unavimchepuko na mke wa hovyo ni hoja za kitoto sana
 
Yaani kama kuna chumba cha kupumzikia kwa ndani,watamlia humo, yawezekana hata akabeba ujauzito ambao siyo wako.Kuna mwalimu kamfungulia mdada duka,ni mkewe,yaani ikifika saa tanotano,kuna boda anakulaga mzigo,hata ufike ubishe hodi mara hamsini,dada yule hatokei,hadi wamalize.
Aiseeeh🤣🤣
 
Back
Top Bottom