Nataka nimfungulie mke wangu Duka la dawa naombeni Ushauri

Ubarikiwe mkuu.
 
Haya mambo mengine mzee ni madogo madogo sana. Yaani ni ya kumalizana tu huko huko nyumbani na my wife wako. Kama umeona kabisa kuna fursa kwenye hiyo biashara, wewe mfungulie tu shemeji yetu.

Wanaumeee☺☺☺
 

Sheria za kufungua duka la dawa zikoje? Vibali kwa Mmiliki na muuzaji, aina ya dawa, ofisi iweje kukidhi vigezo?
 
Sheria za kufungua duka la dawa zikoje? Vibali kwa Mmiliki na muuzaji, aina ya dawa, ofisi iweje kukidhi vigezo?

Hakikisha una kadi ya CCM na dukani uweke picha ya mwendazake mengine utayajulia mbele kwa mbele.
 
Mkuu kama hutojali, mtaji wa kiasi gani unafaa kwa mahitaji ya kufungua pharmacy
Kama wewe sio mfamasia iabidi umpate mfamasia wa kuingia naye mkataba.Jambo la pili Pharmacy inahitaji nafasi kubwa.Jambo la tatu dawa zinzouzwa pharmacy kuna mabzo ni ghali sana.
Kwa ujumla ukiondoa maandalizi ya jengo na mfamasia angalau 50m iwepo.Pharmacy kubwa zinzouza dawa jumla zikikuamini wanaweza kukukopesha.
 
Inshu ya vibali vya kufungua duka hilo ikoje.
 
Inapendeza sana, ngoja waje kukupa miongozo...
 
Kwahiyo wazee wa negative thought mnamshauli hasimfungulie mkewe biashara ......punguzeni kuwaza negative jamani ukiwa Kama mwanaume inatakiwa utimize majukumu yako mawazo ya kwamba pharmacy itageuka gesti ,linaweza kutokea popote.

ww timiza mjukumu mzee as long as ni kwa ajili ya familia
 
Yaani kama kuna chumba cha kupumzikia kwa ndani,watamlia humo, yawezekana hata akabeba ujauzito ambao siyo wako.Kuna mwalimu kamfungulia mdada duka,ni mkewe,yaani ikifika saa tanotano,kuna boda anakulaga mzigo,hata ufike ubishe hodi mara hamsini,dada yule hatokei,hadi wamalize.
 
Daah😂😂
 
Huu wivu wako wa kujitahidi kumuaminisha mwenzio Ili asiendelee yy na mke wake kisa ww unavimchepuko na mke wa hovyo ni hoja za kitoto sana
 
Aiseeeh🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…