Nataka nimnunulie wife Nissan Dualis

Nataka nimnunulie wife Nissan Dualis

Umejiandaaje kuchapiwa?
Kwani gari alilokuwa nalo mwanzo lilikuwa na kidhibiti kuchapiwa? Tunachapa na kuchapiwa hayo ndio Maisha wala usiogope baharia. Kila unapochapa demu ambae sio mkeo ujue kuna mtu anachapiwa
 
Unazifahamu issues za CVT transmission yake? Kelele wakati wa kuchanganya.
 
Kwenye gari za Kijerumani za kawaida
1st class Mercedes Benz na BMW
2nd class Audi na VW

Hivi jamani kwanini mimi hua nayaona ma mercedes benz kama magari ya kizee zee sana? Au kwavile ndio gari nilizoanza kuziona na kuzitambua (kwa ile nembo yake) tangu nikiwa mdogo? Yaani mimi benz ata iweje hua naiona imekaa kizee tu. Nikiona tu ile shoo yake ya mbele nachoka kabisa.
 
Hata mimi naiona Benz ni ya kizee ndio maana Kati ya Benz na BMW nachagua BMW.
 
Back
Top Bottom