nimejenga mazoea na mlinzi anaelnda sehemu jirani, mara kadhaa mida ya jioni huwa tunajuliana hali
Katika stories kuna siku aliwah kuniambia kazi inamtesa sana, Usiku ni lazima aingie kazini saa 12 jioni mpaka kesho yake alfajiri saa 12
Analalamika kampuni inapewa laki 6 yeye anaachiwa laki 1 na elf kadhaa
Mchana anafanya biashara nyingine ndogondogo na vibarua
Ninataka kumsaidia ila kwa siri, ndivyo nilivyo, huwa napenda mtu awe free nikimsaidia bila kuhisi deni lolote juu yangu, mahusiiano ya kirafiki yaendelee kwa uhuru
Nimpeata wazo nimsaidie, Kiasi kilichopo ni shilingi milioni 1.2, mategemeo ni yeye ataacha kazi hiyo,
Je nitegemee kwamba ataacha kazi na kujikita zaidi kwenye biashara ?
Nina hofu asije kuiona kama zawadi ya kujipongeza badala ya kufanyia maendeleo
Machache yaliyonipa msukumo wa kumsaidia

- Hachezi kamari,hanywi Pombe wala havuti bangi
- Mara kadhaa namkuta anasoma kitabu cha dini yake
- Kaoa
- mara kadhaa nimekutana nae mchana akiwa kwenye mihangaiko ya biashara