Nataka nimshauri Niffa(mfanyabiashara za kichina na kikorea.)

Nataka nimshauri Niffa(mfanyabiashara za kichina na kikorea.)

amarina

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2025
Posts
230
Reaction score
403
ukiwa unafanya biashara yako tangaza lakini ukifanya ibada na kuuonyesha umma unakosea. Niliona kavidi kakitrend ukionyesha sehemu yako ya kuswalia, macho yangu yalitua kwenye ramani nyashi, kifupi ni kama unajidhalilisha tu
 
kuna vitu huwa vinafanywa makusudi kwa kukusudia, mtu akiwa na lengo lake kichwani (biashara ni matangazo)

Probably kilichofanywa ni calculated move.


Binafsi hata simfahamu, ila kupitia hii mada uliyoianzisha wewe hapa, umefanya nianze kumtafuta Who is this person?

So, you see, in the name of matangazo na publicity, sote tuseme kwa hapo amefanikiwa sana.

Au bado wataka nikuelezee hiyo kick au publicity stunt inaweza vipi kuongeza faida kibiashara.? AHAAAAAA JIONGEZE BANA!
 
Back
Top Bottom