Nataka nimuingize mjini

itawezekana vp eti ndugu yako umuitie watu wamchanje viwembe?kama sio uchawi ni nini? hilo la picha ninge kusupport.

basi nisapoti kwenye picha halafu mateja sintowapa tena issue ya kumzingua
 
mbona bado upo? Jf tunahitaji magreater thinker na sio magreater pumba.
Kabla ya kuongea unatakiwa utafakari kwanza,Jf kuitwa homu ovu grit thinka haina maana pumba haziruhusiwi na pia Tanzania kuitwa kisiwa cha amani haina maana wote ndio wanaipenda hiyo amani na ndio maana CCM,CUF na CDM,wanaanzisha vurugu na hata kuua ikibidi wanaua.
 
Huna sababu ya kumkaribisha mjini ki hivo....Kama ni mimi ukinifanyia au kumfanyia ndugu yangu hivo nikijua nifanya juhudi zote ukakae mahabusu ya kudumu....

Umesababisha nakuogopa sana maana mawazo yako yanaonesha huna hata chembe la huruma (duduwasha)...

Neno linasema apendaye mizaha ni kama mwehu arushaye miale ya moto... Angalia usije ukaitwa mwenye kupenda mizaha.
 
Du Washawasha mjini ni wapi? maana inaonesha upo J'burg South Africa, halafu unamchukua m2 toka kilwa, hebu msamehe na hata akiwa mjanja kuliko ww si mbaya kwani kuna siku nawe tutakuingiza hapa mjini kwetu upotee
 
Siamini nilichokuwa nakisoma. Nimerudia mara mbili halafu nahisi bado siamini.
Daaah!
 
Siamini nilichokuwa nakisoma. Nimerudia mara mbili halafu nahisi bado siamini.
Daaah!
My dia! Same 2 me! Actually nimekuwa najaribu kusoma mind ya huyu bwana and not sure nimeweke kundi gani. Maana utoto si utoto, roho mbaya am not sure, uchawi am not sure.....I just conclude kwamba pamoja pamoja kwake mjini ila bado ni mshamba kupitiliza and on top of that nadhani hajielewi. I'm sorry 2 say this is disgusting and inhumane! Gosh mungu tunusuru!
 
Usimfanyie mwenzio chochote kile ambacho hutapenda kufanyiwa.
 
Sio vizur kumfanyia mwingine jambo ambalo usingependa kufanyiwa wewe.
 
badala ya kumuongoza kwa yale mema uyajuayo wewe unataka kumuingiza mjini? je utafaidika na nini? kumbuka hata ukimuundia zengwe bado anaweza kuja kuwa mjanja na mwenye success kuliko wewe unayejidhania mjuaji
 
Mkaribishe kwa kumpa yule mke wa rafiki yako aanze nae, aingie Town kwa kuchakachua wa mjini bOnge la shule hilo au Mjomba umeshamaliza ile ngoma tayari?
 
Mkaribishe kwa kumpa yule mke wa rafiki yako aanze nae, aingie Town kwa kuchakachua wa mjini bOnge la shule hilo au Mjomba umeshamaliza ile ngoma tayari?
Hahahahaha bado cjamchakachua nitamtupia yy lile gunia la miba ahangaike nalo
 
badala ya kumuongoza kwa yale mema uyajuayo wewe unataka kumuingiza mjini? je utafaidika na nini? kumbuka hata ukimuundia zengwe bado anaweza kuja kuwa mjanja na mwenye success kuliko wewe unayejidhania mjuaji
Kunjani Inkoskazi?hakuna shaka bibie nitamfundisha kuiba simu za chaka
 
Ni kweli 2pu hujakosea mie pamoja ya kwamba niko hapa na Wazulu lkn bado nachambia majani mpaka leo we niweke ktk kundi la wa2 washamba na wenye roho mbaya
 
Du Washawasha mjini ni wapi? maana inaonesha upo J'burg South Africa, halafu unamchukua m2 toka kilwa, hebu msamehe na hata akiwa mjanja kuliko ww si mbaya kwani kuna siku nawe tutakuingiza hapa mjini kwetu upotee
Ushanitisha,mjn kwenu cji ng'o.
 
Maneno yako ni makali mno mpaka yamenitisha kumtenda jamaa na mie kuitwa mwehu naogopa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…