Nataka nimuwahi my wife wangu

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
wengi tunaogopa maneno, kukemewa, kugombezwa na kujaripiwa.
Wao wanawake wanadhani tumeenda magendo.
 
ila wahi ndugu yangu maana kuna akinamama wengine wanajua kumtandika jamaa yake kisawasawa,inawezekana na wewe ni mmoja wao,wanao shughulikiwa
 
dahhh sijakupata vizuri mmmhh
please correct me if I'm wrong

lakini nadhani unasema wanaume wanaogopa
kugombezwa, ku karipiwa ,na kujaripiwa( sijaelwa kujaripiwa)
kwa hiyo unachotaka kufanya wewe nikumuwahi mkeo
kabla hajasema neno lolote au kuonyesha ishara yeyote ya ukali
unataka uzime moto kabla hata haujawaka ..( dahhhh naomba unisahihishe )
asante

Alie sema kiswahili kirahisi nina kesi naye....
 
MWanaume haendagi magendo kamwe..... bali kwake ......
 
Na yeye akichelewa unamgombeza na kumkaripia?
 
hivi ulisema wife anatumia limbwata la singida ama la mombasa? bora akuwekee zaidi ili upone manake mjini hali sio hali!
nahisi harufu ya limbwata, namuogopa wife kuliko ninavyomuogopa boss
 
kuna siku nilimtembelea ragfiki yangu nyumbani kwake.
Jamaa akaniagizia Serengeti mbili na yeye akajiagizia soda, house girl akatumwa kununua.
Muda si muda akaingia mama mwenye nyumba, na haukupita muda si mrefu hausigeli akawa analeta bia mezani.
Yule mama akaanza kufoka kuwa nyumba yake haiwezi kugeuzwa baa, akamkunja shati mume wake na kumwambia "hebu mtoe huyo kinyangarika mwenzako" niliondoka kimya kimya na sitaki tena kumtembelea mtu yoyote nyumbani kwake. Kama ni vikao, tutafanyia bar kama kawa.
 
wanawake wakianbiwa l love you wanapatwa na wehu, ndio hapo sasa wanaanza kuleta ubabe ndani ya nyumba.
Dawa ni moja tu, kuto waambia kwamba tunawapenda, upendo wetu tutauonyesha kwa vitendo
 
wanawake wakianbiwa l love you wanapatwa na wehu, ndio hapo sasa wanaanza kuleta ubabe ndani ya nyumba.
Dawa ni moja tu, kuto waambia kwamba tunawapenda, upendo wetu tutauonyesha kwa vitendo

Ha ha haaaaaaaa!
 


Hahahahahahaaaaaaaaa.............duuuu, nimecheka bila kupenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…