nachotaka nikiagiza bidhaa inifikie pasipo kupitia posta wala kuulizwa kitambulisho
Kwa maisha ya sasa hakikisha umiliki.sina kitambulisho chochote kile., ila nina namba ya simu tu ambayo ni ya mtu
Kwa sasa hauna vigezo/kigezo cha kuagiza bidhaa online. Hakuna jinsi kariakoo itahusika zaidi kuagiza bidhaa zako na hutopata usumbufu wowote.bidhaa online kwenye site kubwa kama amazon, ebay, aliexpress n.k
Duu ni kwanini umefikia maamuzi haya, yasiyo endana na uhalisia.nina namba ya simu tu ambayo ni ya mtu
sitaki yeyote aniagizie wala sitaki kutumia sanduku la posta la mtu mwingine. nachotaka nikiagiza bidhaa inifikie pasipo kupitia posta wala kuulizwa kitambulisho
kosa la msingi la 'kutabasamu/kucheka'
TIN number
Kwa taarifa yako hakikisha unamiliki mapema iwezekanavyo vifuatavyoina maana kama una kitambulisho na sanduku la posta
nimeuliza kwa niaba ya mtu, hapa ninapokaa nimeulizwa hilo swali nikakosa jibu, nikaja kuuliza huku ili nipate jibu la uhakika.Duu ni kwanini umefikia maamuzi haya, yasiyo endana na uhalisia.
- Je wajua kuwa ni kosa kisheria kumiliki na kutumia namba ya simu ya mtu mwingine? Una kesi ya kujibu hapa.
Mfano hai:
- Kama ni mfuatiliaji wa mitandao ya kijamii utakumbuka moja ya kosa aliloshitakiwa Idrisa wakati ule, ukiacha lile kosa la msingi la 'kutabasamu/kucheka' ilikuwa ni umiliki na kutumia namba ya simu ya mtu mwingine
Sio tunako elekea.tunapoelekea, vitambulisho, hasa cha taifa kitakuwa ndiyo kila kitu
shukrani mkuu, hapo sina swali tena
- Huwezi kupata huduma ya Sanduku la posta bila ya kuwa na TIN number.
- TIN number Ndio kigezo cha kwanza.
Kwa taarifa yako hakikisha unamiliki mapema iwezekanavyo vifuatavyo
Ndipo sasa fikiria maswala mengine.
- Namba ya NIDA [ /kitambulisho kabisa ]
- TIN number
Habari Yako , me nahitaji mawakala wanaoagiza vitu moja kwa moja china niwatumie Ila nna namba ya nida na TIN number naombeni msaada mniunganishe nao tafadhali#1. TIN namba ya jina iliyotumika kwenye usafirishaji wa mzigo wako
- Haitowezekana.
- Sababu, kwa maelezo uliyoyatoa njia ya usafirishaji itakayotumika ni 'express' kwa bidhaa zako zote.
- Ambapo kwenye ku_clear mzigo ni lazima kuna hatua itahitajika
#2. Utahitajika uambatanishe moja ya kitambulisho kati ya Driving licence au kitambulisho cha taifa ili kuthibitisha taarifa #1.
Kwa maisha ya sasa hakikisha umiliki.
- Kitambulisho kimojawapo. [ Driving Licence / National ID / Passport ] Ni muhimu sana.
- Uwe na bank account, sababu kuna baadhi ya huduma mtandaoni hutumia bank statement kama kigezo cha address verification ili upate huduma.
Kwa sasa hauna vigezo/kigezo cha kuagiza bidhaa online. Hakuna jinsi kariakoo itahusika zaidi kuagiza bidhaa zako na hutopata usumbufu wowote.
Pitia hii link: Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasame nahitaji mawakala wanaoagiza vitu moja kwa moja china niwatumie
Chagua bidhaa husikawanavyoweka bei zao zinachanganya.
Kufungua box sio lazima uwe na TIN unless uwe unafungua kwa ajili ya kampuni. Kama ni mtu binafsi si lazima.
- Huwezi kupata huduma ya Sanduku la posta bila ya kuwa na TIN number.
- TIN number Ndio kigezo cha kwanza.
Kwa taarifa yako hakikisha unamiliki mapema iwezekanavyo vifuatavyo
Ndipo sasa fikiria maswala mengine.
- Namba ya NIDA [ /kitambulisho kabisa ]
- TIN number