Nataka ninunue pikipiki boxer ya kutembelea, naomba ushauri

Namimi napitiliza hapa hapa nasubiri ushauri
 
Chukua boxer nakushauri tena chukua boxer, licha ya uimara lakini pia inamuonekano mzuri. Ukipata boxer dume itapendeza zaid, hata zile ndogo pia nzuri. Serikali yenyewe sasa hivi inawanunulia maafisa wake boxer.
 
Kama sio ya biashara ni bora upande daladala tu kaka, jikusanye ununue kigari kidogo, hizo pikipiki ajali nyingi
 
Ushauri wangu, kama wew hauna uzoefu wa pikipiki tangu zamani unataka kuchukulia uzoefu kwenye pikipiki hiyo achana kabsa ila kama una experience yakutosha nunua tu
 
Ushauri wangu, kama wew hauna uzoefu wa pikipiki tangu zamani unataka kuchukulia uzoefu kwenye pikipiki hiyo achana kabsa ila kama una experience yakutosha nunua tu
kwa kweli sina uzoefu nazo..ila kuna harakati nafanya naona nikiwa na pkpk itanisaidia
 
naomba ushauri..nataka ninunue pikipiki boxer ya kutembelea...nishaulini kuna pkpk nyingine nzuri kwa kutembelea/mizunguko binafsi

naomba ushauri..nataka ninunue pikipiki boxer ya kutembelea...nishaulini kuna pkpk nyingine nzuri kwa kutembelea/mizunguko binafsi

Nenda Zanzibar katafute click Hizo chenji yako itabaki
 
Tatizo la boxes ni kuuwa ringi hata kama unabadilisha oil kila baada wiki mbili au kila baada ya km 500-1000 utaona tu inaanza kutoa moshi.
 
sasa tunafanyeje na uwezo wa gari hatuna...maana ata usipoendesha utapanda bodaboda ..risk iko palepale
Risk ni uwezekano wa kutokea kwa jinsi jambo unalifanya maranyingi zaidi.

Dereva boda ana Risk ya kupata ajari 90% abiria 40%...randomly
 
Risk ya bodaboda ni Rami sio Vumbi, kama ukutasmini vizuri suala la Risk tathimini Cost Benefit Assessment (CBA) uzuri wake hii njia itakupa majibu then utafanya maamuzi.
hii sasa shule kubwa..ni ufafanuzi kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…