Smart Technician
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 653
- 824
Kutokana na huu uzi sina mpango tena wa kununua pikpik nlitathmini cost benefit na wala sikuangalia risk zake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutokana na huu uzi sina mpango tena wa kununua pikpik nlitathmini cost benefit na wala sikuangalia risk zake.
naomba ushauri..nataka ninunue pikipiki boxer ya kutembelea...nishaulini kuna pkpk nyingine nzuri kwa kutembelea/mizunguko binafsi
Nunua Sinoray timing chain ni nzuri,,, ajali ni ajali kikubwa uwe makini hata wasio na pikipiki wanavunjika piakwa iyo ipi nzuri angalau
Kifo.ajali nimipango ya mungu kama utakua unafata sheria za bara barani na umakini wa hali ya juu. Naendesha piki piki mwaka watano huu namshukuru mungu sjawai pata ajali.na nsha safiri dar to arusha kwenda na kurudi na myama boxer 150.
NB:zimekua adimu na bei imekua juu kidogoView attachment 1705701
Nilitumia masaa 8 tuDar - Arusha inachukua masaa mangapi?
Hongera sana kaka, safi sana.Kifo.ajali nimipango ya mungu kama utakua unafata sheria za bara barani na umakini wa hali ya juu. Naendesha piki piki mwaka watano huu namshukuru mungu sjawai pata ajali.na nsha safiri dar to arusha kwenda na kurudi na myama boxer 150.
NB:zimekua adimu na bei imekua juu kidogo
View attachment 1705701
2.7mHongera sana kaka, safi sana.
Bei kwa sasa ni kiasi gani.?!
Hivi, kuna supplier mkubwa wa hayo makitu?2.7m
Supplier mkubwa ni mo. Ila sjajua bei itakuaje kwa mzgo mkubwaHivi, kuna supplier mkubwa wa hayo makitu?
Ambapo kama mtu anataka kununua akayaweke kwenye showroom yake anakwenda huko?
Kwa anaefahamu, na bei inakuaje sijui kwa upande wa jumla.
Hahahahah sasa hata asipoapa hio pikipiki ataendeshaje unadhani. Kwa mateso anayopata ndugu yangu mmoja ambaye juzi katoka kupigwa bill ya 25M Agha Khan. kisa ajali ya pikipiki iliomvunja mfupa wa paja na ugoko kisa ubahili na dharau ya kununua gari sasa yuko kitandani tu haamini kilichotokea.Jamaa yangu Mangi... Alikula mzinga akaapa hatoendesha pikipiki tena imagine mtu kavunjika miguu yote miwili, mikono yote miwili, na taya zote mbili
sio kwa bodaboda ajali ukiguswa tu kidogo umevunja mguu na mkono. Ila kuna jamaa waliilaza carina kifo cha mende wakatoka na vumbi tu. Pikipiki kwenye mji au jiji ni hatari mno.Hivi vitu vinaenda na passion ya mtu, mi binafsi siwezi kuacha kuendesha pkpk hata iweje nna miaka 12 Sasa na sijawahi kujuta maana inanisaidia katika kurahisisha mambo mengi sana Jana tu nmepiga Dar-Moro na Honda Ace, Safari ilikuwa murua kabisa bila stress! Ajali ni mipango ya Mungu tu, siku zako zikifika hata ukiwa umekaa unaweza kufuatwa na gari ukagongwa tu.