Nataka ninunue pikipiki boxer ya kutembelea, naomba ushauri

Nataka ninunue pikipiki boxer ya kutembelea, naomba ushauri

Kutokana na huu uzi sina mpango tena wa kununua pikpik nlitathmini cost benefit na wala sikuangalia risk zake.
 
Kifo.ajali nimipango ya mungu kama utakua unafata sheria za bara barani na umakini wa hali ya juu. Naendesha piki piki mwaka watano huu namshukuru mungu sjawai pata ajali.na nsha safiri dar to arusha kwenda na kurudi na myama boxer 150.

NB:zimekua adimu na bei imekua juu kidogo

20180618_112147.jpg
 
naomba ushauri..nataka ninunue pikipiki boxer ya kutembelea...nishaulini kuna pkpk nyingine nzuri kwa kutembelea/mizunguko binafsi

Mkuu nakushauri unapotaka kufanya jambo we fanya tu bila kumshirikisha mtu ila ukitaka ushauri humu watakuokopesha kuwa zinaua lakini ukilema au kifo vipo mahali popote. So chukua TVs hlx 150x nzuri sana wala hutajutia na ina power na iko poa sana hata boxer inafua datu.

Me ninayo ina 2 years lakini ukiona utasema nimenunua Jana. Dar hapo nimepiga misele ya kutosha mwenge, Tegeta hadi Bagamoyo, Mbezi Mwisho Mbagala hadi Kigamboni na baada ya hapo nimehamia mkoani na nikaisafirisha hadi Leo bado inanibaeba tena sana mana huku daradara za kuesabu afu bei juu nauli.
 
Kifo.ajali nimipango ya mungu kama utakua unafata sheria za bara barani na umakini wa hali ya juu. Naendesha piki piki mwaka watano huu namshukuru mungu sjawai pata ajali.na nsha safiri dar to arusha kwenda na kurudi na myama boxer 150.
NB:zimekua adimu na bei imekua juu kidogoView attachment 1705701

Dar - Arusha inachukua masaa mangapi?
 
Kama Kuna uwezokano jichange ununue hata kagari ka bovu bovu sometimes Bora stress kuliko ukilema
 
Na boxer yangu inamiaka 6, iko poa kabisa, kinachotakiwa ni kuwa muangalifu na umakini unapoendesha vyombo vya moto

Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
 
Kifo.ajali nimipango ya mungu kama utakua unafata sheria za bara barani na umakini wa hali ya juu. Naendesha piki piki mwaka watano huu namshukuru mungu sjawai pata ajali.na nsha safiri dar to arusha kwenda na kurudi na myama boxer 150.

NB:zimekua adimu na bei imekua juu kidogo

View attachment 1705701
Hongera sana kaka, safi sana.
Bei kwa sasa ni kiasi gani.?!
 
Usinunue boxer. Ukijua kuendesha jielimishe sheria za barabara, halafu endesha pia kwa kutumia " akili" .

Mi pikipiki siachi. Barabara za sasa hivi ni pana. Ajali ni bahati mbaya sana nina miaka 7 nlipata ajali moja ya kugongwa kwenye u turn mwenye gari hakucheki kama kuna chombo kinakuja nadhani na mimi nilisahau sikuwasha taa mchana.

Kwenye barabara kuu washa taa, fuata sheria. Mbona wanaogongwa wwbgi ni bodaboda pikipiki private sio wengi sababu hakuna anachokimbilia .
 
Hivi, kuna supplier mkubwa wa hayo makitu?

Ambapo kama mtu anataka kununua akayaweke kwenye showroom yake anakwenda huko?

Kwa anaefahamu, na bei inakuaje sijui kwa upande wa jumla.
Supplier mkubwa ni mo. Ila sjajua bei itakuaje kwa mzgo mkubwa
 
Jamaa yangu Mangi... Alikula mzinga akaapa hatoendesha pikipiki tena imagine mtu kavunjika miguu yote miwili, mikono yote miwili, na taya zote mbili
Hahahahah sasa hata asipoapa hio pikipiki ataendeshaje unadhani. Kwa mateso anayopata ndugu yangu mmoja ambaye juzi katoka kupigwa bill ya 25M Agha Khan. kisa ajali ya pikipiki iliomvunja mfupa wa paja na ugoko kisa ubahili na dharau ya kununua gari sasa yuko kitandani tu haamini kilichotokea.

Ni senior wa bank ya NBC Head office ambaye ana biashara na miradi kibao kumiliki hata prado isingekuwa ishu ila alikuwa anapuuza washauri. Imagine unavunjika miguu on your 50's.
 
Hivi vitu vinaenda na passion ya mtu, mi binafsi siwezi kuacha kuendesha pkpk hata iweje nna miaka 12 Sasa na sijawahi kujuta maana inanisaidia katika kurahisisha mambo mengi sana Jana tu nmepiga Dar-Moro na Honda Ace, Safari ilikuwa murua kabisa bila stress! Ajali ni mipango ya Mungu tu, siku zako zikifika hata ukiwa umekaa unaweza kufuatwa na gari ukagongwa tu.
 
sio kwa bodaboda ajali ukiguswa tu kidogo umevunja mguu na mkono. Ila kuna jamaa waliilaza carina kifo cha mende wakatoka na vumbi tu. Pikipiki kwenye mji au jiji ni hatari mno.
 
Back
Top Bottom