Nataka niombe kazi Gvt

Nataka niombe kazi Gvt

Joined
Jul 20, 2013
Posts
76
Reaction score
3
Naomben msaada wenu tafadhali!Nilikua gvt,nataka niombe ajira upya gvt,what should be done Wana JF?
 
B4 nilikua gvt kabla ya kwenda Private kutokana na matizo ya kiafya na kukataliwa uhamisho,nataka nifanye mishe za kuomba upya gvt
 
Hueleweki,ulikua govt kitengo gani,ualimu,uvuvi,kilimo,masjala au ufugaji wa nyuki?
 
Naomben msaada wenu tafadhali!Nilikua gvt,nataka niombe ajira upya gvt,what should be done Wana JF?


Uliondokaje huko GVT? ulinyea kambi au ulifuata taratibu za kuondoka kazini kwa ajili ya kuugua? huko ulikohamia walikuwa wanahitaji wagonjwa? sasa umepona? Elezea kitu kinachoeleweka usaidiwe
 
Jaman nimeuliza mnisaidie process za kuomba kaz upya(Ualimu) kwa mtu aliekua gvt akachomoka,nyie sabab mnataka za nn waheshimiwa,
 
Hatuajiri tena walimu,mpaka after ten years.over
 
Back
Top Bottom