Nataka nione wachambuzi mnaojiita wanaharakati mtaongea nini endapo Feitoto ataitwa timu ya Taifa wakati hana Mazoezi yoyote

Nataka nione wachambuzi mnaojiita wanaharakati mtaongea nini endapo Feitoto ataitwa timu ya Taifa wakati hana Mazoezi yoyote

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Jiandaeni kisaikolojia NALIA NGWENA nasubiri kauli za wachambuzi wanaojiita wanaharakati (voice of voiceless).

Nini watachangia endapo Feisal Salum ataitwa timu ya Taifa wakati hana mazoezi yoyote.

Nawasilisha hoja.
 
Back
Top Bottom