the happiest man
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 253
- 216
Naukubali mwili wangu jinsi ulivyo ila naomba ushauri ni jinsi gani naweza kuongeza muonekano wangu Maana mwili wangu Mimi ni mwembamba kiasi kwamba nikivaa masharti nahisi hayanikai vizur, wale wataalamu wa afya inawezekana nikaongeza mwili wangu kwa mazoezi?? Nataka niongezee uzito kidogo, nyama za mwili na uzito wangu kiujumla, uzito wangu ni 60kg kwa wataalamu wa afya wamenambia uzto wangu urange btn (50-64) body mass BMI 22 HEIGHT ni 164.5 na Age ni 26 yrs old
sex body ndio nini? unakimbiwa na wanawake nini?Naukubali mwili wangu jinsi ulivyo ila naomba ushauri ni jinsi gani naweza kuongeza muonekano wangu Maana mwili wangu Mimi ni mwembamba kiasi kwamba nikivaa masharti nahisi hayanikai vizur, wale wataalamu wa afya inawezekana nikaongeza mwili wangu kwa mazoezi?? Nataka niongezee uzito kidogo, nyama za mwili na uzito wangu kiujumla, uzito wangu ni 60kg kwa wataalamu wa afya wamenambia uzto wangu urange btn (50-64) body mass BMI 22 HEIGHT ni 164.5 na Age ni 26 yrs old
[emoji38] [emoji38]sex body ndio nini? unakimbiwa na wanawake nini?
Bro wewe ni genious .....ningekuwa nnanamba yako nngekutumia 10,000 faster[emoji38] [emoji38]
Si kila mtu anatafuta girls mkuu.. Having a nice body inakufanya ujisikie vizuri pia inaongeza self esteem so sio lazima upige tiz na kula msosi kutafuta madem
Sawa sawa mkuuNenda Gym mkuu
Heeeee hivi kumbe aliyeandika ni mwanaume? hebu ngoja nirudie kusoma tena nilidhan kaandika nwanamke [emoji36] [emoji36] [emoji36]sex body ndio nini? unakimbiwa na wanawake nini?
CDO katika uboraTafuta protein supliments, nenda super market au kwa doctor upewe ushauri ipi inakufaaa.
Hapo ukipiga Tizi wiki tu, utaona tokeo lake
huo ni ushauri na proposal za dactali na sio googleWataalamu wa afya wamekwambia uzito wako una range between 50-64????
Now this is the most bizarre thing I've read in the internet
Mkuu huwezi kupima body weight ukapata exact figure?????
Huyo kama Height yake ni 164cm uzito wake unatakiwa uanzie 62-66kg.Tofauti na hapo hayupo normal.Wataalamu wa afya wamekwambia uzito wako una range between 50-64????
Now this is the most bizarre thing I've read in the internet
Mkuu huwezi kupima body weight ukapata exact figure?????