mkuu hii ya ku-hold breath na kukaza tumbo kwa dkk moja kazi saana kwa kweliMe hua napiga push ups hamsini pull ups ishilini..... Weka mikono nyuma shika kitanda shuka mala ishilini na hold breath na kukaza tumbo kwa dakika moja..... Nafanya hv kila ninapoenda kuoga ko ni mala mbili kwa siku......... Nina mwili amazing saaaana