Unataka usiwe na hisia gani mkuu?Hisia
Mungu Amekuumba Ukiwa Mzima Kabisa Mengine Unajitafutia Mwenyewe Asalale Hujui Unachozungumza Wewe!!!Baraka za Mwenyezi Mungu Ziwe Pamoja Nanyi watu wa Mungu!
Katika kusoma kwangu vitabu Vingi....nimekuja Kugundua kwamba Kutokuwa na Hisia ni Jambo kubwa Mno.
Yaani Hupendi wala Huchukii, yaani u are Emotionless...Kila kitu unaona sawaa tu!
Je Nifanye Nini ili niwe Mtu ambae Hana Hisia?
TheMason!
simaanishi hivo huyo si ana moyo yaani namaanisha hIsia kama vile upendo, chuki kuumizwa na kitendo fulani au kufurahishwa na kiu fulaniLet Translate Together Kitendo Chako Ni sawa Na Mtu Ku Paralyse Means Hana Hisia Na Kitu Chochote Kile Kinachoendelea Then For What??
controll yourselfsimaanishi hivo huyo si ana moyo yaani namaanisha hIsia kama vile upendo, chuki kuumizwa na kitendo fulani au kufurahishwa na kiu fulani
[emoji23] [emoji23] [emoji23]ushindwee!