Nataka Nipoteze Hisia Nifanyeje? (iam Serious)


Swali zuri, Muhimu siyo kupoteza hisia, muhimu ni control hisia zako. Jifunze kwa hawa watu wanaitwa from The Stoics and their principles. It is all about balance, control of your mind, manage expectations.


Start with epictetus: - The Internet Classics Archive | The Enchiridion by Epictetus
 
Dah...Hisia ndiyo zinaleta tofauti kati ya binadam na viumbe vingine...ukipoteza maana unapoteza ubinadam wako.....na hauwezi kujifunza.....Labda umejichanganya kwenye KUPOTEZA na KUDHIBITI.....😀😀😀😀😀😀
 
Huezi kupoteza hisia na bado ukabaki kuwa mtu yule yule..... If you want to be someone you have never been, you must do something you have never done! Undergo some strange things concerning your never systems lakini lazima ukubali hutakuwa kama mwanzo!
 
Yaani Hupendi wala Huchukii, yaani u are Emotionless...Kila kitu unaona sawaa tu! Je Nifanye Nini ili niwe Mtu ambae Hana Hisia?
TheMason!

Mkuu lakini ni kwa sababu gani unataka usiwe na hisia. Kwanini unataka uwe hivyo?
 
Kunywa pombe Kali vuta bangi dry tumia na cocaine itapendeza zaidi..
 
Nahisi kama i want to be different!

Well, nothing wrong with being different, being unique. You can definitely reduce emotions (hisia) especially destructive emotions by looking at things from different perspectives.

But you can't totally 100% eliminate all emotions because emotions (hisia) are energy and energy can be transformed from one form to another but energy can not be destroyed. Negative to positive, positive to negative. Impossible to remain neutral all the time. Because we are not robot or machine, emotions is what make us human.

To love, to hate, to be excited, stressed even depressed, happy, sad, angry, calm, peaceful, troubled it all part of human condition.

Many have try to find that balance before us, Buddha, Epictetus, Marcus Aurelius, Arthur Schopenhauer, Seneca, Epicurus, Socrates, Montaigne and others but all fails etc. The next best things is The stoicism.

 
pigwa nao tu itakuwa huna hisia yaani utakuwa wala huoni haya wewe kila kitu sawa unampa kila mtu jike dume wewe twende ukiitwa choko wala uchukii upo upo tu +
pigwa nao tu hisia zitakuruka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…