Lookmalasin
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,723
- 2,358
Baraka za Mwenyezi Mungu Ziwe Pamoja Nanyi watu wa Mungu!
Katika kusoma kwangu vitabu Vingi....nimekuja Kugundua kwamba Kutokuwa na Hisia ni Jambo kubwa Mno.
Yaani Hupendi wala Huchukii, yaani u are Emotionless...Kila kitu unaona sawaa tu!
Je Nifanye Nini ili niwe Mtu ambae Hana Hisia?
TheMason!
Swali zuri, Muhimu siyo kupoteza hisia, muhimu ni control hisia zako. Jifunze kwa hawa watu wanaitwa from The Stoics and their principles. It is all about balance, control of your mind, manage expectations.
Start with epictetus: - The Internet Classics Archive | The Enchiridion by Epictetus