Wee naye utakuwa hujapanda!Kwa maelezo zaidi fika Airport mkuu
Wee naye utakuwa hujapanda!
Rwanda ukute ulikuja na malari ya mizigigo kupitia rusumo..[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Nitapanda nikiwa narudi kwetu Rwandaa
Rwanda ukute ulikuja na malari ya mizigigo kupitia rusumo..[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Na kisura chako kizuri bado ujaweza kutembelea matako au sura ya kuazima...Yaani ndio hivyo ndugu yangu dhiki hizii...lakini maisha yanakwendaa Mungu yu mwema
Na kisura chako kizuri bado ujaweza kutembelea matako au sura ya kuazima...
Jamaa anataka kupanda ndege bana mbona unampa nauli ya boatNakushauri uende zanzibar na fastjet, nauli ya chini ni 27,000Tshs
Amakuruu!!Nitapanda nikiwa narudi kwetu Rwandaa
Lazima uone shida wa ndio utakuwa mmoja wa wale matajiri wa kusin wenye utajir wa masharti ya kutotembelea magari mazur ,kulala chini,kushindia maandazi na juice ya sayona,,jamaa unataka kutumia jasho lake shida ni nin mzee we endelea kuvizia fuso za mizigo pale kimara zikurudishe huko kwenu kusini ukileta mzigo town ACHa wasofungwa na masharti ya waganga wa enjoy lifeWanaume wa Dar shidaaaa.
Wakuu,
Ndugu yenu nina umri wa makamo (ni kati ya 23 na 26).
Miongoni mwa vitu ambavyo nina ushamba navyo,
Ni suala la kutopanda ndege.
Hivyo naomba wakuu mnisaidie gharama na utaratibu wa kusafiri kwa ndege kwenda na kurudi Mwanza au Kilimanjaro kutoka Dar es Salaam,
Nataka nikakae japo wiki 1 Katika mikoa tajwa kisha nirudi Dar.
Sina ndugu wala shughuli ya kwenda kuifanya huko mikoani,
Ila lengo langu kuu ni KUPANDA NDEGE TU ILI NITOE USHAMBA.
Msaada wakuu
Ili nianze kujipanga kibajeti.
Ndo nauli ya fastjet hiyo! 27,000Tsh everything paid!Jamaa anataka kupanda ndege bana mbona unampa nauli ya boat
Hahahaa ni kweli ni safari fupi sana lakin kwasabu ni mara ya kwanza atakua anxious ata-enjoy tu... afu hyo nauli mkuu ni ya mwaka gani? Mana nauli ya go&return dar-zenj si chini ya laki na hapo awe amekata tiketi wiki mbili kabla labdaNdo nauli ya fastjet hiyo! 27,000Tsh everything paid!
Sema hautafurfahia safari, ukipaa tu baada ya dakika 5 mnaanza shuka
Mkuu sio afike kwa ma ajenti ndege kupata bei sahihiKwa maelezo zaidi fika Airport mkuu
Mkuu sio afike kwa ma ajenti ndege kupata bei sahihi