Nataka nitoe ushamba, nipande ndege kwa mara ya kwanza

Hahahaa ni kweli ni safari fupi sana lakin kwasabu ni mara ya kwanza atakua anxious ata-enjoy tu... afu hyo nauli mkuu ni ya mwaka gani? Mana nauli ya go&return dar-zenj si chini ya laki na hapo awe amekata tiketi wiki mbili kabla labda
Hiyo nauli ni ya ss hivi, we unatakiwa kukata ticket atleast mwezi before safar, kwa 54,000Tsh anauhakika wa kwenda na kurudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…