dist111
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 3,758
- 3,199
Hiyo nauli ni ya ss hivi, we unatakiwa kukata ticket atleast mwezi before safar, kwa 54,000Tsh anauhakika wa kwenda na kurudiHahahaa ni kweli ni safari fupi sana lakin kwasabu ni mara ya kwanza atakua anxious ata-enjoy tu... afu hyo nauli mkuu ni ya mwaka gani? Mana nauli ya go&return dar-zenj si chini ya laki na hapo awe amekata tiketi wiki mbili kabla labda