kama unaona kweli unahisia za kumpenda na kumjali, kama ulishakaa ukamuwaza na kumtamani kabla ya tukio lililowakuta basi mgeuze awe mke kabisa biashara yako aiyone ni yake. Chako chake chake chako
Ila kama ni kipururu tuu utacheza na hisia zake ata cheza na biashara yako na siajabu akagusa na pengine ishi ukiamini vita vya nafsi ni vigumu
kuwa makini swaiba